Kuna Mwanaume anaenda kusingiziwa Mimba ambayo sio yake

Boss Man

JF-Expert Member
Feb 10, 2022
458
991
Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)

Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,

Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa

Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"

"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"

Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu

"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"

Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"

Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.

Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu

Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho

Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
 
Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba

Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua

Hivi kutoa mimba ni dhambi ww? tumia akili yako vizuri ni bora utoe kuliko kumpakazia mtu wawatu. Alafu naww unapenda kumtesa huyo mtoto atakayezaliwa baadaye, fikiria mbali kidogo.
 
Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini habahatiki kushika mimba, anadai Mahusiano yake ya mwisho ambayo yalikuwa serious yamedumu mwaka na miezi kadhaa lakini mambo bado yakawa magumu (hakuweza kupata mimba)

Mahusiano yao na huyo mtu yakafa kwasababu wanazozijua wao, lakini Sasa huyu mwanamke amekiri kwamba alishawahi kutoa mimba kipindi Cha nyumba akidai kwamba hakutaka kuzaa na mtu ambae tayari ana familia, yani hataki kuzaa na Mume wa mtu na pia hataki kuzaa na Mwanaume ambaye tayari ana mtoto,

Sasa bhana leo huyu mwanamke ametoka kwangu hapa sasa hivi kuniambia kwamba ameshika ujauzito kitu ambacho yeye pia haamini kama ni kweli japokuwa amepima na kuthibitisha, ila sasa mtiti upo hapa

Demu kaniomba kwamba anataka iwe Siri yangu Mimi na yeye tu kuhusu hiyo mimba, Kuna mtu anataka kumpatia hiyo mimba, Nikamuuliza "unataka kumpatia nani?"

"Unajua (Jina langu) Mimi na wewe hatujapanga kuwa na mtoto, mm kuna mtu namjua ndio nataka nimwambie hii mimba ni ya kwake, kwahiyo hilo ww niachie mm"

Amenishangaza kwakweli baada ya kuniambia hivyo ila sikutaka kumuoneshea, Nikamuuliza tena bila ya kupanic "kwahiyo nilikubaliana na ww hapa Ina maana huyo mtoto anakuwa sio wangu tena, na kwanini unataka kufanya hivyo?" Akanijibu

"(Jina langu) nimekuambia kwasababu nakupenda na umeweza kunipa kitu ambacho nimekuwa nikikitafuta kwa muda mrefu sana kwahiyo naomba tukubaliane katika hili kwasababu nilikuwa na uwezo wa kukaa kimya na usingejua lolote kuhusu Mimi"

Nikamuambia nikikataa je? "Naitoa, Bora niitoe tukose tu wote"

Alivyonambia Habari za kutoa tena mimba nikaona kweli huyu yupo serious, ila huyu mwanamke alinambia yupo katika Mahusiano na mtu ambaye ana muhudumia kwa Kila Kitu lakini anahisi huyo jamaa ni kama ana familia kwasababu ikifika usiku mawasiliano yanakuwa hafifu kwasababu hawaishi pamoja.

Sasa wadau nilichokifanya mm nikamwambia tu aende nyumbani kwanza aniache peke yangu nitafakari then nitamjibu

Ila kiukweli wakuu nilichoamua ni kwamba nimkubalie tu kufanya hivyo alivyoamua kufanya kuliko nimkatalie harafu akaenda kuua hicho kiumbe ambacho hakina hatia na pengine anataka kumpa mtu ambaye mwenye uhitaji nacho zaidi yangu, sema ubaya ni kwamba jamaa anaenda kudanganywa kama mimba kaidungisha yeye kitu ambacho sicho

Kama kuna maamuzi mengine mazuri zaidi ya hayo ebu nishaurini kabla sijamtamkia rasmi nilichokiamua
Kweli wajingaa bado wapo lait ungejua wew ndo muhusika ambaye umelegwa kusingiziwa iyo mimba ila ametumia trick moja hatar sana yaani utakuja kuniambia wew ndo upo kwenye mtego wa kulea mimba mpaka mtoto soon........Uyooo dem ni haland mtupu soon utakula gori tatu muhimu.......
 
π•Œπ•œπ•šπ• π•Ÿπ•’ 𝕙𝕧π•ͺ𝕠 𝕓𝕒𝕔 𝕛𝕦𝕒 π•œπ•¦π•¨π•’ π•œπ•’π•₯π•š π•ͺπ•–π•Ÿπ•¦ π•œπ•¦π•Ÿπ•’ π•žπ•žπ• π•›π•’ π•’π•π•šπ•€π•šπ•Ÿπ•˜π•šπ•«π•šπ•¨π•’ 𝕓𝕒𝕓𝕒

π•žπ•’π•π•šπ•‘π•  π•Ÿπ•š 𝕙𝕒𝕑𝕒 𝕙𝕒𝕑𝕒
 
Back
Top Bottom