Lost but not forgotten!

Lost but not forgotten!

an alpha male

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2022
Posts
1,041
Reaction score
2,249
Nilikuwa siwezi kutembea akaniladhimisha kukimbia, nilivuja damu nikapoteza mishipa yangu ya fahamu, alinionjesha radha ya mapenzi lakini akanilisha uongo,
nilimwambia kama hatutaenda peponi basi nitaenda motoni na ww, ndio nilikuwa mjinga ninaye jitambua, niliwahi kumwambia kama upendo ndo kitu cha thamani kukipambania basi nipo tayari kufia kwenye uwanja wa vita. Ipo siku uzuri wake utapotea nafikiria itakavyokuwa, pia maisha yanaweza kukupeleka chini, sijui unachoamini wewe ila mimi najua hakuna anayeishi milele kama nitakufa naomba usome hii..hasira zako ziliiba mawazo yangu..wewe ni asiye na mwisho kwangu ni kama kitabu lakini ni ngumu kusoma, unanijua vizuri kama ninavyojijua mwenyewe, uliniweka kwenye akili yako lakini sikuwa na uhakika na hilo.. sijawahi kukudanganya ila haikuwa sawa kukupoteza wewe. Bado nimeshika matumaini utarudi, ila bado sijapona vidonda ulivyoniachia, labda najaribu kuwa kipofu kwa kile tulichopitia kwasababu kimeisha.akili yangu inasimama sijui kwanini ila kila nikihitaji mtu naanza kukufikiria wewe, lakini ukimya wako ni ujumbe tosha kwamba unahitaji kuwa mwenyewe...mimi sio muhanga wa matukio ila sasa nimepona ugonjwa wa hisia...sitarajii utaelewa ila usijiraumu wewe ni binadamu, nipe nafasi ya kukuomba msamaha. samahani kwa kuwa mkweli kwako na ukatumia kama kamba ya kuninyongea.Acha niondoke na moyo wangu mkononi.
 
Acha kulialia, kama unaishi Dar au mko wowote wenye Bahari au Ziwa, tafuta beach tulivu kapoe, nenda zile poor achana na expensive alafu beba kinywaji baridi ubebe na burger yako moja tafuta angle yako moja tulivu ujisev huku unatazama view ya bahari.
 
sitarajii utaelewa ila usijiraumu wewe ni binadamu, nipe nafasi ya kukuomba msamaha. samahani kwa kuwa mkweli kwako na ukatumia kama kamba ya kuninyongea.Acha niondoke na moyo wangu mkononi.
Mwanaume,
Ikitokea Demu amekuacha, acha kulialia.
Tatizo linaweza kuwa umeshindwa kuwa Mwanaume(kuhudumia, kulinda, kuongoza, Kut0mba vizuri) au ulihusiana na Malaya.

Vijana wengi siku hizi wanahusiana na Malaya halafu bado wanaogopa kuwaacha.

Accept, Go Fix yourself then move to the NEXT.

Be a Man. You deserve the BEST
 
Nilikuwa siwezi kutembea akaniladhimisha kukimbia, nilivuja damu nikapoteza mishipa yangu ya fahamu, alinionjesha radha ya mapenzi lakini akanilisha uongo,
nilimwambia kama hatutaenda peponi basi nitaenda motoni na ww, ndio nilikuwa mjinga ninaye jitambua, niliwahi kumwambia kama upendo ndo kitu cha thamani kukipambania basi nipo tayari kufia kwenye uwanja wa vita. Ipo siku uzuri wake utapotea nafikiria itakavyokuwa, pia maisha yanaweza kukupeleka chini, sijui unachoamini wewe ila mimi najua hakuna anayeishi milele kama nitakufa naomba usome hii..hasira zako ziliiba mawazo yangu..wewe ni asiye na mwisho kwangu ni kama kitabu lakini ni ngumu kusoma, unanijua vizuri kama ninavyojijua mwenyewe, uliniweka kwenye akili yako lakini sikuwa na uhakika na hilo.. sijawahi kukudanganya ila haikuwa sawa kukupoteza wewe. Bado nimeshika matumaini utarudi, ila bado sijapona vidonda ulivyoniachia, labda najaribu kuwa kipofu kwa kile tulichopitia kwasababu kimeisha.akili yangu inasimama sijui kwanini ila kila nikihitaji mtu naanza kukufikiria wewe, lakini ukimya wako ni ujumbe tosha kwamba unahitaji kuwa mwenyewe...mimi sio muhanga wa matukio ila sasa nimepona ugonjwa wa hisia...sitarajii utaelewa ila usijiraumu wewe ni binadamu, nipe nafasi ya kukuomba msamaha. samahani kwa kuwa mkweli kwako na ukatumia kama kamba ya kuninyongea.Acha niondoke na moyo wangu mkononi.
Inauma Sana wacha niondoke na moyo wangu mkononi nikapumzike baharini
💘😭😭
IMG_20221209_154658.jpg
 
Alpha male?!? More like weak ass male. Unalia vipi kwa mafumbo. This is rainbow stuffs man up say wat happened you will heal more effective no whining about it
Sometimes kuandika ulichopitia ni tiba.
 
Nilikuwa siwezi kutembea akaniladhimisha kukimbia, nilivuja damu nikapoteza mishipa yangu ya fahamu, alinionjesha radha ya mapenzi lakini akanilisha uongo,
nilimwambia kama hatutaenda peponi basi nitaenda motoni na ww, ndio nilikuwa mjinga ninaye jitambua, niliwahi kumwambia kama upendo ndo kitu cha thamani kukipambania basi nipo tayari kufia kwenye uwanja wa vita. Ipo siku uzuri wake utapotea nafikiria itakavyokuwa, pia maisha yanaweza kukupeleka chini, sijui unachoamini wewe ila mimi najua hakuna anayeishi milele kama nitakufa naomba usome hii..hasira zako ziliiba mawazo yangu..wewe ni asiye na mwisho kwangu ni kama kitabu lakini ni ngumu kusoma, unanijua vizuri kama ninavyojijua mwenyewe, uliniweka kwenye akili yako lakini sikuwa na uhakika na hilo.. sijawahi kukudanganya ila haikuwa sawa kukupoteza wewe. Bado nimeshika matumaini utarudi, ila bado sijapona vidonda ulivyoniachia, labda najaribu kuwa kipofu kwa kile tulichopitia kwasababu kimeisha.akili yangu inasimama sijui kwanini ila kila nikihitaji mtu naanza kukufikiria wewe, lakini ukimya wako ni ujumbe tosha kwamba unahitaji kuwa mwenyewe...mimi sio muhanga wa matukio ila sasa nimepona ugonjwa wa hisia...sitarajii utaelewa ila usijiraumu wewe ni binadamu, nipe nafasi ya kukuomba msamaha. samahani kwa kuwa mkweli kwako na ukatumia kama kamba ya kuninyongea.Acha niondoke na moyo wangu mkononi.
Alpha male gani mlalamishi

This is so feminine
 
ONEitis desease.

Mwanaume,
Ikitokea Demu amekuacha, acha kulialia.
Tatizo linaweza kuwa umeshindwa kuwa Mwanaume(kuhudumia, kulinda, kuongoza, Kut0mba vizuri) au ulihusiana na Malaya.

Vijana wengi siku hizi wanahusiana na Malaya halafu bado wanaogopa kuwaacha.

Accept, Go Fix yourself then move to the NEXT.

Be a Man. You deserve the BEST
I'm not crying bro its just i'm trying to explain what happened.
 
Wakati wewe unajiliza huku kuna mwamba kampakia mkongo anampiga miti saa hizi.

Tafuta pisi nyingine, mademu hawaishi.
 
Back
Top Bottom