Baada ya kujua kichwa cha habari kinavyojieleza, leo jioni tumeachana na siwezi kurudiana naye, nimemwambia huyo mtoto apewe babake, amesema kwa mila zao hawezi kumpa babake mtoto wakati hakutoa...
Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....
Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua...
Mkasa wake upo hivi...
"Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu...
Habari wana Jf,
Hapa ninapoishi ni mimi pekee ambae sina mke na nilishawahi kuleta uzi hapa ➡️ Thread 'Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa' Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa
Sasa imekuwa...
Habari zenu ndugu zangu? binafsi namshukuru huyu MUNGU kwa uzima.
Ni jana tu siku ya alhamisi nikiwa natokea Dar kwenda Moshi mjini nikipanda gari ya umma (nikumbushie kidogo sio kila siku...
1. Mwanamke anakutembelea geto, unamwachia rimoti ya TV aweke chaneli anayoipenda, unakuta chapu mwenzio kaweka filamu za bongo muvi.
2. Mwanamke yeye ni wa kukubeep tu hapigi simu hata kama...
Maisha ya Mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na mawasiliano chanya ya kila siku katika mazingira yanayo mzunguka.
Neno mazingira likijumuisha nyumbani, kazini, kwenye biashara, kanisani...
Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti...
Habari za siku nyingi watu wa Mungu.
Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa...
1. Maneno ni mengi, kila mtu huwa na mazoea yake na namna anavyoishi na watu, siyo wote watakuona sawa unaposimama au kuzungumza na jinsia nyingine, mawazo ya mtu uweza kuwa tuhuma na shtaka kwa...
Habari
Kama mwanaume umeumbwa na wivu nakuhurumia sana ndugu yangu, maana hata ukiwa na mwanamke innocent bado wauni watamsumbua, sasa imagine una mwanamke kicheche
Nta-share visa kazaa
KISA...
Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu.
Mwaka jana...
Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari".
Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi;
Bidhaa
Mwanamke [ Nyanya ]
Wauzaji
Wazazi upande wa mwanamke...
Kama Mnakumbuka jana ule uzi wa
https://www.jamiiforums.com/threads/yule-kibonge-simtaki-tena.2071846/
Sasa Muda ule naandika ule uzi nilikuwa njee Napunga upep0 huku nakunywa wine Yangu pendwa...
Kwa mfano mwanaume wewe unajijua kuwa ni mlevi, wewe ukikutana na mwanamke day one just show her your reality kuwa ni mlevi haswa kama ni wa kukupenda atakupenda ulivyo tu, acha kuzuga...
Unakuta mwanamke wa nguvu kimuonekano, lakini ukienda naye kitandani hajui a wala b. Anachojua ni kuvua nguo na kufungua miguu au mapaja na kujilaza tu hapo. Mengine we mwenyewe endelea!
Kesho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.