Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Eti twende hivyo hivyo nitambadilisha

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,779
Reaction score
21,053
Waungwana naona hii weekend inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....

Unakuta mtu ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha mbele kwa mbele...

Unabadilisha mtu wewe umekuwa Mungu uliyemuumba? Unaingia kwenye mahusiano na mtu unayeona mnaendana tabia na mitizamo lakini huendi kwenye mahusiano kubadilisha wanadamu ambao hata aliyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazoonesha.

Awe mke au mume, awe kumegana kisela fanya na mtu mnayeendana. Maana pia unaweza zania unamega kisela mwisho ukanogewa ukabaki mazima.

Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki, sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.

Hivi mpo ambao mliweza wabadilisha wenza wenu na mkafanikiwa kwa 100%?
Neno langu sio amri za kuambiwa changanya na zako.

Tusichoshane.

download (14).jpeg
 
Wanaume Ndio walivyo wanapenda kubadilisha watu tabia anakuta unapenda hiki unaambiwa achana nacho Ila yeye anavyopenda hawez achana navyo

Wanaume kweli hawabadiliki wana kazi ya kugeuka mbadilisha watu
Tusipangiane maisha
Ukimuelewa mtu hakikisha unaendana nae...
Umemkuta anapiga mini skirts kubaliana na hilo sio tena mtu anaanza unajua me hiki sipendii..
Kama hupendi achanenii
 
Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki , sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.
Kama unaona huwezi hizo don't unakacha tu 🤣🤣
 
Waungwana naona hii week end inaishilia hivyooo ila siko poa kabisaaa nahisi moyo unaungua huko ndaniii

Sasa turudi kwenye hoja ya msingi.....
Unakuta mtu Ana mwanamke au mwanaume wake...anajua kabisa huyu mtu wake ana tabia flani tata lakini anakomaa tuu kwa matumaini kwamba atambadilisha mbele kwa mbele ...

Unabadilisha mtu wewe umekuwa Mungu uliyemuumba?? Unaingia kwenye mahusiano na mtu unayeona mnaendana tabia na mitizamo lakini huendi kwenye mahusiano kubadilisha wanadamu ambao hata aliyewaumba wakati mwingine anajuta kwa nini aliwaumba kwa tabia wanazo onesha.

Awe mke au mume, awe kumegana kisela fanya na mtu mnayeendana. Maana pia unaweza zania unamega kisela mwisho ukanogewa ukabaki mazima.

Unakuta uko na mtu anakushushia page ya 'don'ts' kibaoo ...eti sipendi hiki , sitaki ufanye hivi, sitaki kile.....sawa wapo wanaokubali kubadilika kuendana na upepo lakini mnawafanya waishi fake life ambayo sio maisha yao halisi.

Neno langu sio amri za kuambiwa changanya na zako.
Tusichoshane.
View attachment 2537682
rekebisha hapo"ALIYEWAUMBA ANAJUTA"muumbaji huwa hajuti kwani yeye si mwanadamu..
 
Back
Top Bottom