mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
1. Mwanamke anakutembelea geto, unamwachia rimoti ya TV aweke chaneli anayoipenda, unakuta chapu mwenzio kaweka filamu za bongo muvi.
2. Mwanamke yeye ni wa kukubeep tu hapigi simu hata kama ulishampa hela ya kujiunga na vifurushi. Ukipokea tu simu yake ujue anaomba hela ajiunge tena. Kifupi ukiona simu yake basi jiandae kupokea kizinga nje ya hapo hapigi simu.
3. Mwanamke muongomuongo asiyeishiwa visingizio
Wanawake wenye tabia hizi na zingine zinazofanana nazo, wengi wao ni mizigo isiyo na msaada wowote. Ukitaka kufa mapema kwa jakamoyo wewe endeleza mahusiano na mwanamke wa hivi.