Elimu ya Ndoa kwa wanandoa iwe ni lazima

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
606
663
Unakuta mwanamke wa nguvu kimuonekano, lakini ukienda naye kitandani hajui a wala b. Anachojua ni kuvua nguo na kufungua miguu au mapaja na kujilaza tu hapo. Mengine we mwenyewe endelea!

Kesho na kesho kutwa unasikia huyoo kaolewa, matokeo yake unasikia baada ya miezi 2 bidada kaachwa au karudishwa kwao!

Au unakuta unalala na mtu halafu unakuta mwenzio analala fofofo hadi asubuhi vinginevo wewe ndio umwamshe, napo anaamka kwa mbinde na malalamiko kibao halafu huyu ndio anajiita mpenzi au mke! Halafu asubuhi huyu anataka umuachie kodi ya meza, nyambaff kabisa! Aisee haiwezekani mtu wa hivi hata mimi napiga chini fasta!

Ninavyoona, hili wimbi la watu kuachana na idadi kubwa ya masingo maza linatokana na mambo kama haya ambayo kama jamii tumeyapuuzia na kuyaona kama ni ya kawaida sana. Kiukweli inabidi lazima kuyangaliwa kwa upana wake.

Tusiporudi kwenye misingi yetu, watu wapewe hizi elimu dunia ambazo wazee wetu walipewa lakini sisi tunaziita ni za kale, zisaidie kuokoa ndoa na kupunguza masingo maza aisee. Watu wafundwe hata ikibidi kwa kuchapwa viboko kwa faida yao ya baadaye na vizazi vyao.
 
Amekaa na wazazi kutoka utotoni hajawaelewa atakuja kumuelewa mkufunzi wa ndoa kwa kipindi kifupi?

Maisha ni mafupi akizingua mzingue
 
Ndoa hazifanani hilo somo haliwezi kufua dafu. Somo la ndoa linajitengeneza lenyewe kulingana na wanandoa waliokutana. Somo likiisha kwa kutoelewana ndio yanatokea ya akima jesca kishoa. Somo likiisha kwa kuelewana mnazeeka pamoja
 
Unakuta mdada wa nguvu kimuonekano, lakini ukienda naye kitandani hajui a wala be. Anachojua ni kuvua nguo na kufungua miguu au mapaja na kujilaza tu hapo. Mengine we mwenyewe endelea!
Kwa tatizo hili nenda kaoe
  1. Mbinga
  2. Songea
  3. Masasi
  4. Lindi
  5. Mtwara
  6. Pwani
  7. Uzaramoni
  8. Tanga
  9. Morogoro
Huko wanacheza kama chekechheke
 
Navoona hili wimbi la watu kuachana na idadi kubwa ya masingo maza linatokana na mambo kama haya ambayo kama jamii tumeyapuuzia na kuyaona kama ni ya kawaida sana. kiukweli inabidi lazima kuyangaliwa kwa upana wake.
I honestly say, being single is cool, no frustrations
 
Tusiporudi kwenye misingi yetu, watu wapewe hizi elimu dunia ambazo wazee wetu walipewa lakini sisi tunaziita ni za kale zisaidie kuokoa ndoa na kupunguza masingo maza aisee. Watu wafundwe hata ikibidi kwa kuchapwa viboko kwa faida yao ya baadaye na vizaz vyao.
Hii ni natural force huwezi ku temper nayo ni kama ilivyo kwa jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi huwezi kulibadili

Kwa kizazi hiki ukibadili matokeo yake utayaona👇

 
lakini wazazi hawafundishi mambo haya mkuu
Kinacho vunja ndoa ni tabia mbaya.

Kwa sehemu kubwa ni umalaya, uchoyo, ubinafsi na kiburi.

Hizo ni tabia ambazo anakua nazo mtu aliyelelewa na wazazi au walimwengu.

Mzazi anakwepwaje hapo?
 
Back
Top Bottom