Nadhani nina tatizo, msaada tafadhali

Nadhani nina tatizo, msaada tafadhali

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
422
Reaction score
2,008
Yaani sijui nina tatizo gani naweza mtamani mwanamke saaana nakuvutiwa nae naomba namba napewa natongoza anakubali anapokuja tuonane labda baa kwa stories mbili tatu ili kupanga miadi ya kunyanduana hamu inaniishia pale pale tukiachana hapo baa hata kumpigia simu kumuulizia km kafika kwao naona uzito, yaan mzuka wote unakata.

From hapo anitafute au asinitafte naona sawa tu teena akianza kunikumbushia kuhusu kunyanduana namchukia kabisa.

Ishanitokea zaid ya mara 5 sijui hata shida Nini wengine wananiuliza umeniita uje unichore eee yaan ata sielew nakwama wapi na kwa ambao nimepita nao wengine walikaza saana na Mimi kujilazimisha.

Lkn nikishakula naendeleza

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Huenda ukawa unajini kweli binafsi nimepitia hyo hali yaani nakuwa na hamu ya kugonga ila mazoea na mademu sitaki kbs na kwa bahati mbaya nikipendwa dwmu namuona demu fala ila tukiachana ndo namuwaza *****.

Kumbe nilifungwa
 
We ni padri mwenye kipaji hujasomea
 
Yaani sijui nina tatizo gani naweza mtamani mwanamke saaana nakuvutiwa nae naomba namba napewa natongoza anakubali anapokuja tuonane labda baa kwa stories mbili tatu ili kupanga miadi ya kunyanduana hamu inaniishia pale pale tukiachana hapo baa hata kumpigia simu kumuulizia km kafika kwao naona uzito, yaan mzuka wote unakata.

From hapo anitafute au asinitafte naona sawa tu teena akianza kunikumbushia kuhusu kunyanduana namchukia kabisa.

Ishanitokea zaid ya mara 5 sijui hata shida Nini wengine wananiuliza umeniita uje unichore eee yaan ata sielew nakwama wapi na kwa ambao nimepita nao wengine walikaza saana na Mimi kujilazimisha.

Lkn nikishakula naendeleza

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Duh, apo jichunguze tu ujue huwa kwanini hasa inakutokea hivyo. Labda huamini kama unastahili kupendwa, au unaogopa kuumizwa au unaogopa kumuumiza mtu au chochote. Jichunguze kwanza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom