Mpe ushauri shangazi Julie

Kambi ya Fisi

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
12,962
21,065
Mkasa wake upo hivi...

"Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu inamsumbua sana . Ameniomba ushauri nami ninakushirikisha tuungane kumshauri".

Weka hapa ushauri wako nami nitaufikisha kwake.
 
Sijaelewa.

Binti yake kamfumani mama akilala na ex wa binti? Ama binti ndiyo kafumaniwa na mama akiliwa na ex wake?

Anayeona aibu ni nani? Mama au binti?

Leo sijala? Mbona sielewi?
 
Wewe ndio huyo ex uliyefumwa na mama mkwe?
 
Sijaelewa.

Binti yake kamfumani mama akilala na ex wa binti? Ama binti ndiyo kafumaniwa na mama akiliwa na ex wake?

Anayeona aibu ni nani? Mama au binti?

Leo sijala? Mbona sielewi?
Mama ndiye kafumaniwa na bintie. Alikuwa akinyanduliwa na mjuba ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa huyo mama Ila waliachana baada ya kuolewa.

Mama anaona aibu kwa hilo tukio
 
Kama binti ni mkubwa mwambie waongee ki utuuzima wayajenge yaishe, na huyo mtoto kwanini amfumanie mamake, hana adabu
 
Wazazi wanatakiwa kuwa na mipaka, na watoto pia wakijiona washakua watu mzima sio vizuri sana kufatilia mambo ya wazazi labda ukihusishwa
Mipaka lazima iwepo lakini kwa mazingira ya kesi hiyo inaonesha mama ndie alieleta ex nyumbani, wakubeba lawama ni huyo mama.
 
Huyo mazaa akome

Huku Manzese loji mpk buku3
Ina maana hawakuwa na af3 mpk wakutanie nyumbani kwake?
Mbona hana adabu kwanza
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom