Wewe uko namba ngapi na tupe uzoefu wako
1: Mahusiano ya ndoa: haya yanakubalika na jamii na kutambuliwa na serikali. Ndo mahusiano ambayo wapenzi wana uhuru wa kujitambulisha popote na...
KWA MWANAUME AMBAYE HAJAOA :
Ikiwa huna mpango wa kumuoa huyo mwanamke wako, kamwe usimuulize umri wake.
Usimuulize kwanini bado yuko single.
Usimuulize ana uzito wa kilo ngapi.
Na ikiwa...
Leo nimeletewa notification na google photos na ika niamshia memories ambazo nisinge penda kuzi re-live.
Growing up as a lastborn, kwa familia nyingi uta expect kuwa the most favorite lakini...
Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu?
I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior
NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango...
Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam.
Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka.
Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako...
Hallo ndugu zangu
Nina mchumba wangu ambaye tumepanga kuoana mimi na yeye mwaka kesho. Ila hali za huyo mchumba wangu mpaka sasa hivi na shindwa kuzielewa kabisa.
Mimi huyo mchumba wangu ni mtu...
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa...
Umuofia Kwenu?
Katika kuishi kwangu Visiwani Comoros, nilipata kuona tamaduni moja ya maisha ya ndoa. Mwanaume unaenda kuishi kwa mwanamke yaani nyumbani kwenye familia ya mke.
Yaani ipo hivi...
TEAM NDOA VS TEAM USIOE
Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una...
Sijui nipoje (in Whozu voice),ila ndivyo nilivyo, huyu mpenzi wangu ninaishi naye vizuri na kwa upendo kwa muda mrefu. Sasa week jana alipata homa ya kuhara, siyo mbaya kila mtu anaumwa, ila ile...
Habarini wana Jamvi. Natumai mu wazima sana.
Bila kupepesa maneno .Niende moja kwa moja kwenye point.
Ewe mwanaume, ishawahi kukutokea upo faragha na ukashindwa kupata hisia kabisa na mtu...
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala...
Wakubwa shikamoni na wengine habari zanyu, wadogo marahaba. Kwenye mambo ya ndoa nipo mwaka wa 13 sasa nafikiri nina uzoefu wa kutosha.
Katika kujifunza kwa waliotangulia, nimegundua wanaume...
Habari,
Nimeajiri vijana kwa takriban siku 24 wanisaidie kupeleleza mienendi ya mke wangu, wamenipa taarifa na picha ya kijana anaye mdanganya mke wangu.
Wakubwa na watu wenzangu wazima, hivi...
Kuna binti nImekuwepo nae for longtime mpaka nika plan kuwa Mungu akipenda awe wife kumbe kwao ana mtoto na amenidanganya Ila katika kufanya utafiti nikajua ameshazaa nimejitoa mdogomdogo.
Hivi...
Ushauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika...
When searching for a respectable wife, you should avoid women working in the following fields. Surprisingly, women who work in law enforcement, journalism, healthcare, or politics don't make good...
Habari za muda huu wadau[emoji112]
Mimi ni muajiriwa katika sekta binafsi. Basi mara baada ya kupata kazi hii, nikazoeana sana na dada flani. Baadaye kiutani utani tukawa wapenzi na binafsi...
Red flags in women
1. Watches mindless shows like the bachelor/bachelorette
2. Tattoos everywhere
3. Unnatural hair colors (Purple/Green/Bright Red)
4. Daddy issues
5. Single mommy with kids...
Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.