Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dah
Dah mitaa Fulani, muda huu naona mke wa mtu ana ingizwa logde na jamaa. #. Kataa ndoa # fear woman
1 Reactions
11 Replies
659 Views
Katika mavazi yote nguo za ndani ni siri ya mvaaji. Kama imeisha ama la,kama iko safi ama la. kawaida ya nguo hutupwa kila zinapokuwa zimeisha na ni kawaida sana kukuta nguo zilizoisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika jambo ambalo linarudisha nyuma sana maendeleo sio tu binafsi ya mtu , bali ya familia, jamii na taifa zima basi ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa kuishi ndani ya familia. Familia ni...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa na miadi ya mdada mmoja ambaye nilikuwa namfukuzia muda ila akaleta maringo nikampotezea. Mimi ni muumini wa dhehebu la KATAA NDOA. Sasa juzi huyu dada akanitafuta vuuu msg akaanza...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Haijawahitokea Mchepuko akawa pekee na haitatokea kamwe, kiufupi tu Me huwa tunapenda kufa mapema kabla ya siku zetu kwa...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Shughuli ya kuveshana pete nchini Kenya, imenusurika kuharibika baada ya mwanamke Jessica Hawayu kumeza pete ya uchumba ambayo alifichwa kwenye chakula chake (pilau) kwa 'surprise'. Mpango kati...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Napenda kutoa shukurani zangu kwa Wana JF wote, Mlionipa ushauri, juu ya njia panda niliyokuwepo. Maumivu ya Mapenzi na hisia niliyo kuwa nayo, na washukuru sana. Sasa nimeamua kuwa mtu huru, na...
1 Reactions
8 Replies
672 Views
Yani utakuta unamfukuzia mwanamke mpaka unachoka ,anakuja kukukubalia teyari ushakata nae tamaa kabisa, alafu siku zinaenda anakujakuambia tafuta hela at the sametime anakuambia uchelewe kukojoa...
4 Reactions
7 Replies
538 Views
Watu wakiwa nje dah, makelele mengi; mara naweza kufanya hivi, mara naweza kucheza mdundiko, naweza kusimamia kucha, naweza kulicheza sebene, na hakuna atakayenishinda, mara itakuwa full...
2 Reactions
6 Replies
455 Views
Ni ni maana ya kula kimasihara? Ndo ipo vipi iyo.
3 Reactions
8 Replies
621 Views
Nina rafiki yangu wa muda mrefu sana yeye anafanya kazi mzuri sana serikalini tumezoeana sana sana sasa ilipita mda sijaenda kwake juzi kati aliniita uku akilalamika umenitupa mdogo wangu utaki...
14 Reactions
87 Replies
4K Views
Salamu nyoooote! Ni matumaini yangu kwamba nyote my wazima wa afya njema. Tuende moja kwa moja na mada husika. Kwanza kabisa naomba nikili wazinya kuwa Hawa Wadada wa kazi wanaotusaidia kazi...
17 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu, hii mada imekuwa inspired na Ndo maana nikasema sio kila mwanaume wapo wanaoibiwa hawajui but wengine huwa wana kama sixth sense hivi au strong connection.....labda Pasco aje...
13 Reactions
64 Replies
16K Views
Habarini za wakati huu ndugu wana-MMU, Hongereni kwa Majukumu na kwa Changamoto mnazopitia kwani hizo ndio Maisha menyewe. Ni muda umepita toka niweke post yangu hapa MMU. Mimi ni kijana (31)...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Raha ya romance ni kwa mwanaume kumnusa demu wake sehemu zote za siri.
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukikaa Na mwanamke kama mke kwa muda hata Wa mwaka tu mkitafuta mtoto ndo utagundua wahaya wanakuibia tu kwa sababu zipo siku utamchallange mkeo tena bure halafu usikojoe mapema uta Go sana mpaka...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wagwan, Chap kwenye point, Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja. Though kwa sasa muda...
9 Reactions
129 Replies
4K Views
Enyi wadada, wanawake, na mabinti acheni kula vitu vya wanaume, kama humpendi au humtka usimpe nafasi. Pesa ya mwanaume ni jasho. Machozi ya nawaume Yana laana Kali sana. Unaweza fugwa usi...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Habari za muda Huu wakuu. Mwanzoni mwa mwaka Huu nilikuwa natokea moshi kwenda arusha nakumbuka nilikuwa nimepanda basi la lim safaris, akaja mdada mmoja akakaa karibu na siti niliyokaa mimi...
8 Reactions
261 Replies
26K Views
Back
Top Bottom