Ameza pete iliyowekwa kwenye pilau ili kumsuprise kwa "Will you marry me?"

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Shughuli ya kuveshana pete nchini Kenya, imenusurika kuharibika baada ya mwanamke Jessica Hawayu kumeza pete ya uchumba ambayo alifichwa kwenye chakula chake (pilau) kwa 'surprise'.

Mpango kati ya mama wa mwanamke huyo na mpenzi wake Johannah Charo ulikuwa ni kuficha pete ya uchumba kwenye sahani ya pilau,ili binti huyo aione lakini haikuwa hivyo.

Jessica alianguka na kukimbizwa katika hospitali ya karibu baada ya kumeza pete hiyo iliyowekwa kwenye pilau akapewa msaada.

Hata hivyo, aliamka na kujibu ‘ndiyo’ huku pete ya uchumba ikiwa tayari kidoleni mwake huku Charo akisisitiza kwamba angemuoa akiwa amekufa au akiwa hai.
 
Huyo siyo wa kuoa ni mtu asiye makini, punje tu ya mchanga unaihisi mdomoni, yeye ameshindwa kugundua chuma!!!
 
B88F8978-153D-4DA8-A730-829AD10987D5.jpeg
 
.......tatizo watu wanapenda mbwembwe kwenye matukio ya kimahusiano kiasi cha kusababisha visa na mikasa refer Oscar Pistorius kule South Africa.......lakini pia hilo ni tatizo la kudate mabinti wa uswahili(kina mwanakombo)......Ina maana binti alifakamia msosi akawa hatafuni, hii ina maana alimeza hadi mifupa ya nyama, coz ukitafuna chakula hata vile vijiwe vidogo utasense then utatema.......inamana hata Jamaa angeweka bangili mrembo angemeza tu......
 
Back
Top Bottom