Wanaume tunateseka kweli, yaani unashinda kutafuta pesa kwa njia yoyote ili mwisho wa siku nyumbani kueleweke, unajitahidi kutoa pesa kwa malengo ikitokea lolote kuwe na akiba, lakini wake zetu...
Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia.
Kama mwanamke wako siku hizi unaona;
Hana hamu ya kufanya mapenzi,
Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa,
Au zamani...
Huu ni mfumo uliomtoa mwanamke kutoka kuwa tegemezi na kumfanya kuwa tegemezi zaidi. Kwa kisingizio kuwa wanahaki sawa na wanaume....!
Yaani kumpaka mwanamke mafuta kwa mgongo wa chupa na...
Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya.
Sifa zangu
Urefu Futi 5.9
Elimu: degree moja
Kazi Mwalimu wa secondary (Government)
Kabila Haya
Sifa za Mwanamke
Awe Bikra
Elimu sio lazima...
Sina maelezo mengi ila sikutegemea kufanya chochote kwa siku ya leo kutokana na uchofu niliokuwa nao jana toka kazini, nilitaka nipumzike tu leo lakini tayari nimeshajaribiwa na naona kabisa...
unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni.
imagine siku upo umechill sehemu...
Ni kweli ukimpenda, ni kweli uli invest kwake, ni kweli mlipeana ahadi nyingi, ni kweli umepoteza muda kwake, LAKINI KWANINI ULIE, KWANINI UKATE TAMAA.
Ndugu, MUNGU anasababu kukupitisha kwenye...
Siku za hivi karibuni tumepata taarifa ya mtu maarufu sana duniani Stephen (TWitch) ambaye huonekana akiwa na furaha sana,amechangamka , anacheza na watoto wake na mkewe kiasi kwamba watu wengi...
Habari wana jamvi
Leo nilikua kwenye kikao Cha familia tukijarbu kusuluhisha hii case, uyu dada ameolewa lakini kuna muda hajiskii tu kukaa na mumewe, yaani according to her kwa maudhi aliyonayo...
*Hello Wana JF,
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji
Sifa ya...
Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe.
Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ...
Dai chako !!!! Dai Chako...
Mimi ni Polisi: Leo Halali Nyumbani
Leo, 09/06/2015, nimekumbuka matukio mawili makubwa yaliyonikuta kwa kufuatana na ambayo si mazuri hata kuyakumbuka. Miaka kama kumi na mbili hivi iliyopita...
Tukielekea kwenye mfungo wa ramadhani ripoter wenu kaka shetani kutoka mombasa tumeshuudia kituko cha jamaa kuomba mahali yake wakati harusi imeshafanyika wiki iliyopita.
CHANZO: Baada ya...
Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu?
Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.
Wana Jamiiforums wenzangu naombeni Ushauri.
Nina mwaka 1 sasa kwenye mahusiano, mpenzi wangu hataki kabisa tu-sex coz yeye bado ni bikra, anasema hawezi kuvunja amri ya 6 mpaka tuoane.
Dini zetu...
Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba.
Lakini...
Hii ndio njia pekee ya kutongoza bila kukataliwa
Huwa nawaambia wanaume wenzangu.
Nguvu kubwa ya mwanamke iko kwenye "Communication". Mawasiliano
Wakati sisi tunacheza cha ndimu, wao walikuwa...
Madhara ya Maumivu ya Mapenzi; unakosa hamu ya kula, unahisi huwez kuish tena, unakuwa mtu wa hasira.
Unapoteza kumbukumbu, unataka kulipa kisasi, unakuwa addicted na masturbation.
Nimeficha I'd yangu maarufu!
Tumetimiza miaka Saba (7) ya ndoa, ni furaha iliyoje tuna familia watoto wa Tatu.
Mke wangu tulifahamiana JamiiForums, nampenda sana amenifanya nisahau shida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.