Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Binti yangu kipenzi my second born Atu, amefikisha miaka 18 leo . Sijawahi kujisikia mzee kwa umri wangu huu wa nusu karne. Katika sherehe yake, nimemwambia mambo matatu tukiwa tunakata keki ya...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Tukutane hapa kwa facts mbalimbali kuhusu mapenzi. Nitaanza na hizo kadhaa na kuendelea nitakapopata wasaa. Kama unazo pia ruksa kuweka
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale Na binti nilie mwelewa katika hizi harakati za kutafuta mke, nilimtongoza na wakati wa kuagana nakumbuka alinijibu hivi. "Wewe unajiamini sana na unazunguka...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari? Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka...
2 Reactions
3 Replies
624 Views
Kuna watu wanalalamika wanateswa kwenye mapenzi (ndoa) hivi mnaweza kuvumilia mambo anayopitia huyu jamaa ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuna mrembo mmoja ivi bhana jana nilimualika Dinner/Chakula cha jioni na nilipika haswaa Pongezi kwa YouTube mana nilipata maujanja ya jikoni kule... . Sasa bhana muda wa Dinner namcheki akagoma...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari za majukumu, Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano. Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Nina umri wa 28 years Niko Mwanza Najishughulisha na ujasiriamali. Nahitaji Mwanamke wa kufanya naye maisha pamoja, kwa mambo mengine tuwasiliane PM iko wazi.
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu... Kama mwanaume naomba sana wanaume wenzangu na wavulana wote tuwaombee hawa wanawake tulio umbiwa na Mwenyezi Mungu kama wasaidizi wetu na hali kadhalika kama...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti...
19 Reactions
42 Replies
3K Views
Na watakia majukumu mema ndugu zangu. Wanawake hii kauli ya " nambie " tuwekeni wazi manarithiana huko masaloon au ni dalili mpya ya kutaka kututoa hela na kutukomoa sisi wanaume. Yani unakuta...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.. Kama umeangukia kwenye penzi la single maza a.k.a mke wa mtu na unataka kumuweka ndani awe mkeo hakikisha mume wake amekufa na kaburi umeliona pamoja na death...
1 Reactions
1 Replies
473 Views
Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima. Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza ujipe muda ili kuitatua changamoto yako. Changamoto na shida zinaweza kutokana na; Makosa yako mwenyewe kwa kurudia kosa, Makosa ya wengine mpaka yamekuathiri, Makosa katika kufanya kitu...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Miezi michache iliyopita, nilitengana na mwenzi wangu wa muda mrefu baada ya kusitisha kuota mahari nyumbani kwao na kuamua kumsaidia rafiki yangu ambae alikuwa kwenye changamoto fulani za...
10 Reactions
277 Replies
10K Views
Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka...
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Mpenzi wangu kaniacha, kasema ameota anavishwa Pete na mtu mwingine, hivyo kasema mm sio mpango wa Mungu kwake. Ni fanye nini mm. ( Huu ni ujumbe niliotumiwa na rafiki yangu Jana anaomba tumshauri)
2 Reactions
13 Replies
679 Views
Najuta kuoa mwanamke Historia ya ukoo wao hakuna mwenye gari passo wala elimu. Vijana mmekuwa mkilalamika kuhusu koo zenu mpaka wenyewe ndio maana mama zenu wanawaongezea ndugu kwa baba wengine...
0 Reactions
2 Replies
463 Views
Majaribu kila siku yananiandama mimi tu, nina wiki nimekimbia ninapokaa na kuacha kodi ya miezi 2 ikiendelela kisa mke wa mtu, Hapa nilipoamia sasa ni siku ya tatu kuna binti, mpangaji mwenzangu...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli. Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa...
2 Reactions
2 Replies
545 Views
Back
Top Bottom