Bado sijapata mwenza

True Man11

Member
Oct 14, 2022
79
109
Habari za majukumu,

Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano.

Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya biashara za kawaida na naishi maisha ya kawaida.
Najua kupenda na napenda kupendwa pia.

Nitafurah kupata Mwenza hapa, sichagui umri, dini wala kabila lakini cha muhimu awe anajitambua, smart na mkweli, nitafurahi Sana nikipata mke, lakini Kwa sasa nilivyo mpweke hata asiyetaka kuolewa tunaweza ungana tukawa pamoja.

Naomba Kwa aliye serious PM yangu ipo wazi karibu tufahamiane zaidi.
 
Hizo biashara za kawaida ndo madem hawazitaki na maisha ya kawaida ndo kabisaaaaa hawatakuja ww ingia mtaani tongoza tatizo lenu mnadhani madem wa huku jf ni super sana kumbe ukikutana nao bora wa mtaani kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana nimeeleza wazi, sipo hapa kufanya biashara ya mapenz! Nipo Kwa atakaye elewa na mwelewa pia kuhitaji, ningetaka biashara wapo wa 10,000 sinza na haja yako unamaliza.
 
Umeshindwa kuwafata wadada pm? Nenda kawatongoze usisubiri kutongozwa.
Huko unapoishi watongoze pia acha uoga
Andaa chai na kitoweo maana leo jioni imenipasa kuwa mgeni wako PM😇😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom