Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ili neno ndugu zangu msijaribu wa kike na wakiume kwenu. Leo nameletewa barua toka mahakamani bila kujua Mombasa wakati mke wangu Tanzania hafahamu kinachoendelea. Huyu mtoto wa Kimombasa kwa...
3 Reactions
7 Replies
509 Views
Waungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu. Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo...
12 Reactions
191 Replies
8K Views
Wanaume huwa tunapitia changamoto nyingi sana za kimahusiano, na kupelekea familia zetu kutetereka; na kama hukujipanga vizuri, majuto huwa ni mjukuu. Kimaumbile, mwanaume ameumbwa kutamani, na...
7 Reactions
67 Replies
2K Views
Don’t expect people to be there for you just because you were there for them. The reality is, not everyone will be there for us when we need them, regardless of how much we've done for them in...
6 Reactions
10 Replies
552 Views
Hii ni baada ya kuwashilikisha idea yangu ya kuuza nyumba ya mke mkubwa iliyo kando mwa barabara ya lami ili kufanya miradi mingine ya maendeleo Ni jambo la kushukuru kwa kuwa baada ya mauzo ya...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Happy Sunday to everyone! For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the...
42 Reactions
391 Replies
17K Views
Siku nyingine jua la kawaida na upepo mwanana Kwa mbali.Nimeamka na furaha sana. Nikajiandaa fresh na chukua funguo zangu za JEEP na kuzama ndani ya mkoko wangu Moja Kwa Moja Hadi klabu...
4 Reactions
9 Replies
543 Views
Ipo hivii huu ni mchepuko ambao tulikuna maene yangu ya kazi. Tulibadirishana namba na kuendelea kuangalia status zetu. Basi siku moja alikua kapost yupo out nokakoment "Upo kiwanja kizuri ila...
13 Reactions
50 Replies
5K Views
Haya majina watoto wakike mnaweza kuwa mpo hapa JF ila kwa kweli mnakismart kwa wapenzi wenu ila walishindwa kuelewa umuhimu wenu. Leo naangalia jina ambalo nilikuwa na mahusiano naye...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Mapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia...
8 Reactions
20 Replies
920 Views
Ulimwengu umebadilika sana. Mimi kama kaka yenu nayaona mambo kwa utofauti sana na ninyi ambao hamjakua vema. Kuna vitu vingi sana watoto wa kiume mnaachwa nyuma na jamii haiwapi umuhimu tena...
14 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu. Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani hichi kitabia huwa kinaboa sana,mtu mmekutana then mkapiga shoo halafu baada ya shoo ukimsoma muonekano wake wa mwili na uso unaona kabisa hayupo sawa japo hasemi anataka nini,.. Mwanamke...
4 Reactions
17 Replies
936 Views
katika kuhangaika hangaika na wanawake , hatimae hawa wanawake wamenichana ukweli. Ipo hivi katika harakati zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejitahidi sana kuzoea wanawake / wasichana wengi sana...
6 Reactions
71 Replies
6K Views
Naitwa Jumanne Nina umri wa miaka 29 Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene. Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha...
6 Reactions
3 Replies
878 Views
Nyie wadada, kwa nini huwa mnatudharau pale tunapokuwa tumepauka? Hujui ya kuwa fedha huwa ni matokeo? Leo unaweza kuwa huna, ila siku zijazo ukawa unazo? Halo, Pendeni sera zetu; hela ni matokeo.
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Wenye vibamia wote,msiwe na hofu fanye ni haya: 1. Jifunzeni sana romance na muwe mnafanya sana sana romance kwa muda mrefu na kwa kila staili. 2. Fanyeni sana mazoezi iki muwe na stamina ya...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Nilikua na project moja nje ya ofisi yangu hii ilikua 2021. Wakati wakufanya hii project ndipo nilipomwona huyu mdada rangi ya chocolate fupi na tako la haja hili kalio ndio lilinichanganya.huyu...
9 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni single mother mwenye mtoto wa miaka mi4. Ana umri wa miaka 23. Kipindi cha nyuma alikuwa hawezi pita bila salamu na tabasamu juu yake. Baada ya kupata bwana aliyeenda umri (Kama 45 hivi)...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom