Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

Niite Profesa

Senior Member
Jun 19, 2015
100
106
Kuna mrembo mmoja ivi bhana jana nilimualika Dinner/Chakula cha jioni na nilipika haswaa Pongezi kwa YouTube mana nilipata maujanja ya jikoni kule...
.
Sasa bhana muda wa Dinner namcheki akagoma Kuja nikamuuliza nini shida eti ooh naogopa macho ya watu...
.
Nikaona huyu ng'ombe hanijuuui(by Mkojani Voice) eti anataka nimpakulie msosi kwenye hotpot afu nimpelekee
.
Nikaona isiwe kesi nikaita washkaji Tukala Msosi hadi punje ya mwisho...
.
Na hadithi yangu imeishia hapo.

images.jpg
 
View attachment 2553860
Binadamu wa zama hizi wana uwezo mdogo sana wa akili..
 
Nilishanunua kuku mzima, chips na vinywaji, akawa hataki kuja kwangu anaogopa kwahiyo nimfungashie nimpelekee(sio mbali na nilipokua nakaa). Nikaona isiwe tabu ilikua saa 4 kasoro usiku nikaanza awamu ya kwanza nkabakiza may be angekuja baada ya kuendelea bembeleza, hola hakuja. Baadae akanicheki karibu tule ugali dagaa, nkamjibu ahsante nikalala. Nkashtuka saa 8 nikagonga awamu ya mwisho 😁. Kesho yake ananipigia analalamika tumbo linamuuma vidonda vya tumbo vimeamka kwa sababu jana alikula dagaa. Sikumjibu kitu alivyokata simu ndio mpaka kesho nikampotezea.
 
Nilishanunua kuku mzima, chips na vinywaji, akawa hataki kuja kwangu anaogopa kwahiyo nimfungashie nimpelekee(sio mbali na nilipokua nakaa). Nikaona isiwe tabu ilikua saa 4 kasoro usiku nikaanza awamu ya kwanza nkabakiza may be angekuja baada ya kuendelea bembeleza, hola hakuja. Baadae akanicheki karibu tule ugali dagaa, nkamjibu ahsante nikalala. Nkashtuka saa 8 nikagonga awamu ya mwisho . Kesho yake ananipigia analalamika tumbo linamuuma vidonda vya tumbo vimeamka kwa sababu jana alikula dagaa. Sikumjibu kitu alivyokata simu ndio mpaka kesho nikampotezea.

mambo mengi muda mchache
 
Back
Top Bottom