Maumivu ya ndoa

Maumivu ya ndoa

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,611
Kuna watu wanalalamika wanateswa kwenye mapenzi (ndoa) hivi mnaweza kuvumilia mambo anayopitia huyu jamaa ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
IMG_0766.jpg
 
Mbona hakuna tatizo sasa! Mwanaume aliyekamilika lazima aipende familia yake

Shida ana pesa wenye pesa wanataka kumuibia mke mfano ww mkeo unajua ana taaluma fulani na mkataba unaonesha anatakiwa kulipw milion tano ila analipwa kumi ya ziada na wewe unapewa na zawadi how do you feel?
 
Back
Top Bottom