Wanaume wenzangu tuwaombeeni wanawake hali ni mbaya sana haijalishi wapoje kitabia

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu...

Kama mwanaume naomba sana wanaume wenzangu na wavulana wote tuwaombee hawa wanawake tulio umbiwa na Mwenyezi Mungu kama wasaidizi wetu na hali kadhalika kama mapambo ya dunia hii na wakiwa kama sehemu ya kutupa utamu..

Wanawake wengi sana ( jinsia ya kike) imekumbwa na maradhi ya kijinsia na wanateseka sana japo njiani tunawaona wanatembea wakiwa wanapendeza na hata kunukia vizuri ila wanaumwa magonjwa ya wanawake sio kawaida wakuu japo hawawezi kusema ila wanateseka sana

Tuwaombeeni kwa imani zetu kama wanaume Mwenyezi Mungu awasamehe wanawake / wasichana wote na kuwa rehemu ndugu zangu..

Nb.. tusisahau kufanya kazi na kuishi nao kwa akili kama wanaume katika kipindi hichi kigumu cha kuwaombea.
 
IMG_5237.jpg
 
Nagonjwa yapo kwa wote, na Mara nyingi sisi wanaume ndio tunawapelekea hawa wanawake na kupona keao kunakuwa kugumu tofauti na sisi. So tusiwanyanyapae kwa kuwasingizia wakati haya no majanga ya wote
 
Back
Top Bottom