Nilikua na project moja nje ya ofisi yangu hii ilikua 2021. Wakati wakufanya hii project ndipo nilipomwona huyu mdada rangi ya chocolate fupi na tako la haja hili kalio ndio lilinichanganya.huyu binti alikua na kiduka nikawa naenda kununua bidhaa kwake hata km sina shida ili tu nipate attention yake. Lakini binti akawa hana habari na mimi nikamuomba namba akachomoa. Nikikutana nae nikimsalimia anaitikia kwa dharau nikaona cha mno nini nikampotezea. Nikawa dukani kwake siend tena nikampotezea mazima huku moyo unaniuma nikiona lile tako
Mwaka jana 2022 nikiwa kwenye harakati zangu mjini nikaonana na rafiki ake huyu demu wanaishi mtaa mmoja na dukani wanakaaga pamoja nae ni mzuri kiasi sema hajaivutia. Akanisalimia kwa ucheshi na heshim sana nikaitikia tu vizur tukaachana siku nyingine nikakutana nae tena kwenye daladal tukasalimiana nikamlipia nauli
Tukafika kariakoo wakati tunashuka akanifata kunishukur kwa kumlipia nauli nikamwambia ucjal akaniuliza unaelekea wapi nikamwambia Nina mizunguko mingi kidogo lkn kabla ya mizunguuko yangu nataka kwanza nipate chakula cha mchana nikamuuliza kama anaweza kujiunga nami tukale then tukitok kila mtu na mishe zake akakubal
Tukafike kwenye mgahawa flani safi tukaa tukala nikalipa bill tukaagana na wala namba sijamwomba wala kumwambia akitok tutaftane ili turuf wote kila mmoja na mishe zake
Sasa sijui alienda kumwambia nini rafiki yake. Muda ukawa umepita siend tena kule mtaani kwao coz project niliokua nafanya ilikamilika, nikawa napita mara moja moja demu wa dukani nikaona ananisalimia kwa ukarimu na bashasha sana nikajiuliza nimebadilika nini akawa ananiuliza mbona siku hizi cpiti dukani kwake
Nikawa nimeweka ngumu yale maswala ya namba simuombi.nikaona demu km anadata flani hivi nikamtest namba unanipa au bdo una musimamo akajichekesha akanipa sikumchek wala nini mpka kesho yake ndo nikamuomba appointment aje mahal jino moja tu huyu hapa nikaa nae tukazungumza tukapnga siku ya kulana ikafika nikamchakata.
Wakati nipo nae kitandan kwenye stor ndo akanambia kuhus rafiki yake alivomsulia jinsi nilivyomkamrimu nikikutan nae mjini nikaona kumbe ndo kanifungulia njia
Demu anatak mazoea nami sitaki baada ya kukaa nae nimegundua IQ yake ipo chini saana matako tu ndo makubwa lakini kichwani mweupe
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app