Tuzae mtoto utalelea?

Tuzae mtoto utalelea?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,038
Reaction score
15,289
Ili neno ndugu zangu msijaribu wa kike na wakiume kwenu. Leo nameletewa barua toka mahakamani bila kujua Mombasa wakati mke wangu Tanzania hafahamu kinachoendelea.

Huyu mtoto wa Kimombasa kwa kweli nilikuwa sipendi maharage ila kutokana na ufundi wake wapishi mpaka yeye ni kakubari kupiga mimba ili niweke jiwe la msingi momambasa.

Sasa mimi biashara yangu kuvuka nchi siwezi kulala gesti na unafahamu Watanzania afrika mashariki na afrika tunavopendwa kwa amani wengine tukijifanya ndugu yetu Domo a.k.a baba Tifa wanatukubali sana.

Mtoto kaona kuweka mbegu mix TZ na zkenya maana sisi wajuwaji, wabishi na mafisadi.

Ilivoingia nilimuomba kutoa, jibu nililopata nitalea?

Sasa mtoto kawa bakora kwangu.
Yani leo nimeshindwa kula mirungi mpaka nimeenda kuipika nilijua sukuma wiki.

download%20(9).jpg
 
Back
Top Bottom