Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,625
- 65,097
Mapenzi ya kichuo chuo yalikuwa yana raha sana; siku kama ya leo muda kama huu, unakuwa umepigilia pamba huku ukinukia vizuri, na kumchukua baby wako, labda mko mwaka mmoja au mmepishana, mnaingia kiwanja tulivu, huku yeye akiwa amejipodoa; mnapiga mvinyo huku kukiwa na mziki wa utulivu pembeni, huku kaupepo kaubaridi kanavuma kulia kwenda kushoto.
Dah, kweli maisha ya chuo yalikuwa matamu sana; ingawa mwisho wa siku hakukuwa na ndoa.
Sasa hivi nimejizeekea tu hapa; kweli kila kitu na wakati wake; tunasema 'those days'
Kuleni maisha, wakati ni sasa.