Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 5,707
- 11,953
Ulimwengu umebadilika sana. Mimi kama kaka yenu nayaona mambo kwa utofauti sana na ninyi ambao hamjakua vema. Kuna vitu vingi sana watoto wa kiume mnaachwa nyuma na jamii haiwapi umuhimu tena.
Jamii inaendeshwa na "women talk" kila sehemu. Akili zinabeba ajenda nyingi za upande wa kikeni na bila aibu kuna watu wazima wa kiume wanakaa kimya huku madogo wakipotea.
Tazama serikalini mijadala yao ni wanawake kila sehemu. Nenda taasisi za kifedha ni mambo ya wanawake tupu yaani mikakati ya kifedha kiuchumi 80% inahusu wanawake.
I swear kuna muda nahisi wanaume taarifa za changamoto zetu hazipelekwi kwenye takwimu za kitaifa ili iundwe mikakati ya kutambua changamoto zetu na kuziandalia mikakati.
Pale bungeni kuna wanaume wachache sana wanaojiamini wengi wao ni wanawake kitabia na ukichanganya na wale wadangaji wa viti maalumu ambao hawana la maana zaidi ya kugonga gonga benchi kupitisha pumba sijaona nani wa kusimamia masilahi yetu ngazi ya kitaifa.
I fear for my young brothers nawapenda sana siwezi kuona mkiteketea na kuacha kuishi malengo yenu. Boy child enough is enough, its time to talk about your rights and privileges.
Watoto wa kiume wanajitahidi sana kustruggle on their own no one cares for them. Tunapoteza our brothers kwenye ushoga sababu ya kukosa structure ya kuwakuza. Enough is enough. Its time to open back the Masculinity trainings na kuwashape watoto wa kiume wherever walipo even if it means kugombana na wanawake wacha iwe hivyo.
My brothers nawaita tena kwa jina la KIUMENI its time turudishe wadogo zetu kwenye mstari hii dunia bila uanaume ni sawa na meli bila captain kampuni bila CEO https://jamii.app/JFUserGuide feminists na wote wanaosapoti.
Our biggest enemy ni feminists na feminism. Nawaiteni pamoja kuanzia leo tuweke azimia la kuanza kushare namna tutaanza vuguvugu la dismantle hizi idea za kifeminist ambazo kinara wake ni mataifa ya magharibi ambayo hayalali usiku na mchana yakipambana kudhoofu mfumo dume na kupandisha mfumo jike na kudhoofisha mataifa yetu maana wanajua anapokuwapo mwanaume imara jamii hustawi.
Tuna mengi ya kushare naomba huu uzie uwe mwanzo wa kupeana maoni na idea ya namna ya kufanya hii movement ili tuokoe watoto wetu wa kiume wasijekutana na stress za hawa vilaza mafeminists na wasije kutana na laana za ushoga.
MEN RULE. THIS IS THE MAN'S WORLD ,
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app