Hellow
Wanawake wengi sana walio olewa na walio na wachumba zao mawazo yao siku zote ni kuwa mwanaume ndio atatangulia kufa then yeye abaki na watoto na yeye ndio atarithi vitu vyote. Why, hayo...
Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake.
Sio lazima kuwa Bakhresa.
Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha...
Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni...
Habari wana JF.
Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila...
Ndugu, juzi nilienda "Kimboka by Night" bar maarufu buguruni shell nikachukua Dada poa wa kulala nae tukaenda gest moja ivi inaitwa sewa gest house ipo buguruni sokoni. Ajabu ni kuwa yule binti...
Wasalaaam, habarini za mchana wakuu?
Bila kupoteza muda nimeona niwashirikishe hili kwani kipindi cha mwanzo mliweza kunishauri vizuri sana, ukweli nilipenda sana ushauri wa kila mmoja wenu...
Wasalaam JF,
kila shetani na mbuyu wake, mahaba matamu na mapenzi matamu yapo. kipekee raha na utamu uliohuishwa na Barcelona ya Africa (Simba SC ya Tanzania) club ya kibabe kampa kampa tena...
Hapa sitotoa salamu kdg nataka nitumie dakika hizi chache kuandaa jamvi hili liwe kama Kengele ya kuwaamsha hawa viumbe.
Wanawake wa sasa Tofauti na wale wa zamani ndio maana Migogoro haiishi...
Habari za jumapili ndugu zangu...
Ewe mwanaume kataa ndoa na mwanamke anae weka marangi rangi kwenye nywele au blich,, kataa kabisa kutembea au kuoa mwanamke anae vaa vikuku miguuni huyo ni pasua...
Salamu sana wanaJF.
Kama ilivyo kawaida yetu humu jamvini kushirikishana mambo mbalimbali yanayotuzunguka iwe jambo la furaha au huzuni, napenda tuungane pia katika furaha hii niliyonayo katika...
Moja ya vitu ambayo huwa sifanyi ni kukimbia, mara ya mwisho ukiacha leo sina kumbukizi ni lini nilikimbia sio marathon, jogging, mvua au kuwahi sehemu kwangu kukimbia bila sababu za msingi ni...
Waswahili husema ukistaajabu ya musa utaona ya Firauni, Je unajua matumizi yote ya tumbaku ?
Mkoani Tabora nchini Tanzania wanawake wamekua wakitumia Tumbaku ili kupunguza hamu ya tendo la ndoa...
Kuna wanaume wanapenda kuwa na wanawake ambao hawawapi changamoto kwenye mawazo yao, yaani wanataka mwanamke ambae watamwambia hii ni nyeusi na akakubali kuwa ni nyeusi hata kama ni kijivu...
Habari ya leo wana jf. Leo nimependa kuwashirikisha kisa hiki kilichotokea mwez wa 10 mwaka huu. Nilikuwa na rafiki wa kuzungu jinsia ya kike, jina lake anaitwa Emine. Anaishi NYC japo asili yake...
Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na...
Kukosa uvumilivu husababisha kuvunjika moyo haraka sana kwa sababu matokeo mara nyingi yanakuwa tofauti na matarajio yetu hiyo huwa ni kawaida kabisa kwa watu wengi ulimwenguni. Usihisi umerogwa...
Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia...
Kama unampenda kweli Dada wa watu uliyempa ujauzito akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia " Maternity bag". Ni kweli Serikali imejitahidi sana kuboresha huduma za afya lakini bado...
4pm. Nikiwa nimetoka kuoga baada ya mchoko wa mizunguko ya hapa na pale. Wakati narejea kutoka mizungukoni nimepitia gengeni nikachukua zabibu za buku mbili. Nikiwa chumbani nimejifunga taulo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.