Usioe mwanamke anayevaa vikuku na kuweka marangi rangi kichwani

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Habari za jumapili ndugu zangu...

Ewe mwanaume kataa ndoa na mwanamke anae weka marangi rangi kwenye nywele au blich,, kataa kabisa kutembea au kuoa mwanamke anae vaa vikuku miguuni huyo ni pasua kichwa utakuja kufa bure ndugu yangu,

mwanamke wa hivyo hafai kua mke kabisa wala hafai kua mchumba au mpenzi na hafai kuongozana nae barabarani wala popote pale kimbia kabisa achana nae hilo ni pepo kimbia mbali...

Jali afya yako ya akili, jali uhai wako na furaha yako epuka kabisa mwanamke wahivi hafai kabisa kuanae , kama ukishindwa kabisa wewe jipigie zako tena piga kwa uangalifu mkubwa... na usepe usiweke kambi hapo kifo kinakuita..

Sasa shauri yenu..

Nb.. waambieni na wanaume wengine na watoto wenu wa kiume wa wakwepe wanawake wa hivi hawafai kabisa.
 
Na hawa walio chola tatu ase kaka angu kao changu doa bila kujua juzi kamuaga anaenda kwenye interview iringa kumbe kaenda kudanga
 
Babe wangu...nakukumbusha vikuku vyangu ulivyoninunulia...nitumie basi kesho
 
Habari za jumapili ndugu zangu...

Ewe mwanaume kataa ndoa na mwanamke anae weka marangi rangi kwenye nywele au blich,, kataa kabisa kutembea au kuoa mwanamke anae vaa vikuku miguuni huyo ni pasua kichwa utakuja kufa bure ndugu yangu,

mwanamke wa hivyo hafai kua mke kabisa wala hafai kua mchumba au mpenzi na hafai kuongozana nae barabarani wala popote pale kimbia kabisa achana nae hilo ni pepo kimbia mbali...

Jali afya yako ya akili, jali uhai wako na furaha yako epuka kabisa mwanamke wahivi hafai kabisa kuanae , kama ukishindwa kabisa wewe jipigie zako tena piga kwa uangalifu mkubwa... na usepe usiweke kambi hapo kifo kinakuita..

Sasa shauri yenu..

Nb.. waambieni na wanaume wengine na watoto wenu wa kiume wa wakwepe wanawake wa hivi hawafai kabisa.
Kimekukuta nini?
 
Na hawa walio chola tatu ase kaka angu kao changu doa bila kujua juzi kamuaga anaenda kwenye interview iringa kumbe kaenda kudanga
Hao ukiwaona wewe ni kukimbia tuu mkuu..tena pita mbali nao kabisa maana zile pafyumu wanapulizia zinaweza zikakushawishi....kimbia kabisa... Na usiruhusu hata macho yako yawatazame
 
Wanawake wengi wa aina hiyo
Wavaa vikuku
Wapaka bleach
Watoboa masikio mengi
Wachora chale

Hao watu ni wakuwala na kukimbia
 
Labda uwe umekuja mjini leo.
Hivi kuna wanaume wanaoa wa hivyo
 
Unakosea kuoa kesho unakuja na kampeni kataa ndoa huna akili
 
Back
Top Bottom