Wanawake kujifanya wajuaji na wasasa zaidi kunawaharibia

Zee la Kazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2023
335
619
Hapa sitotoa salamu kdg nataka nitumie dakika hizi chache kuandaa jamvi hili liwe kama Kengele ya kuwaamsha hawa viumbe.

Wanawake wa sasa Tofauti na wale wa zamani ndio maana Migogoro haiishi mbali tu ya kimahusiano ya Kindoa, Kimapenzi au ya kijamii.

Sasa hivi ukiangalia lile wimbi la Wanao support ile kaulimbiu ya KATAA NDOA limekuwa ni kubwa sana Nchini, mimi siliungi mkono ila Hawa wanawake wa sasa hivi Vitendo wanavyo vifanya vinaonyesha wazi wanaunga mkono moja kwa moja hiyo Campaign.

Sasa Nataka niulize hivi, kwani ni lazima mwanamke kuwa na namba ya Bodaboda kwenye simu yako? Ivi kwan Bodaboda yupo mmoja tu. Simaanishi mnatembea nao La hasha lakini Em Imagine One Thing. Unajua ndomana hata Jeshini Unaweza ukawa na Urafiki na Mkubwa wako wa kitengo lakin utaona kn Muda ana Act km hamjuani Iv ile ni kwasababu ya kulinda mipaka. Hivi unajua the more yo get closer to the Sun, The more You feel Hotness. Mara umetaka Kitu dukan umpigie umuagize akuletee mara nn umpigie yeye tu yeye tuu na wakat anakuletea mumeo hayuko mazingira ya nyumban iv unategema nn kitatokea. Anyway tuache hiyo

Mwanamke Hatukatai kusaidiana au kusaidiwa na mumeo Lahasha,,haya sas mdg ako wa Ikwiriri ana birthday anataka Nguo mpya na zawadi anakuomba wew, na wew unamuingia mumeo au mpenz wako akupe maybe na hiyo ni birthday imagine ni tukio la siku moja tu ambalo halina Umuhimu sana kulifanya Matokeo yake unapewa hela leo unamtumia, kesho unabanwa wew na shida yako haswa sasa ya maana unaanz tena kuruka hapo hapo mfukon mwa mpenz wako. Je, akisema hana hiyo siku na we unashida ya haraka, si ndo mwanzo wa kutoa Utelezi kwa wananchi siku hiyo na Psychologically ni kwamba Kunguru hafugiki na akifugwa akiruka akaona utamu wa Anga si ndo kwaheri mwalimu! Tuache hiyo.

Kuna hii Haki sawa kwa wote, Anachoweza kufanya mwanaume, mwanamke nae anaweza We nanii Alikudanganyaa, hapo ukiambiwa upige tu pushup tano utachafuka mwili mzima. Ufike wakati mwanamke ujielewe na utambue we kazi yako kupika, kufanya majukumu ya ndni km mama ikiwemo kulea familia akiwemo na mumeo hayo mengine acheni kufuata mkumbo mnatak kuiga kutita kwa tembo mwisho mnapasuka....

Mf. huko jeshine wakienda wanawake aise ukiyajua wanayofanya ili kulegeza ugumu wa kozi hutokubal kuoa hao wanawake, mwanamke ataliwa wee na kila aina ya mkuu mpk kozi inaisha si ashakuwa malaya huyo, haya bora hata apate kazi japo hata akipata ataendelea kuliwa kozi zipo nyingi, sasa asipopata kazi, akirud nyumban hyo 80% atakuwa malaya tu kama sio wa kujiuza barabarani ni Silent killer aka Danga kwahiyo kn vitu au kaz zngine au mamb mengine wanawake inabid waelewe hayataki usawa mwanaume n mwanaume tu..wenzao wanawake wa zaman walikubali kurudish mpira kwa kipa hawakuw na hizo porojo ndoman ndoa zao zilidumu hata mahusiano yao hayakua haya ya bum kubam Moto wa makaratasi. Achana na hyo.

Mwanamke vikundi chungu nzima Vicoba Vibegi upatu, Black, Blue Pinky, wadada, na kote unadajwa 20k - 70k unazilipaje na kwa muda gani hayo marejesho, haya basi mshirikishe mpenz wako kabla HAKUNA! sas we unategemea nini kama sio kujiuza tu ndan ya ndoa au mahusiano ndo maana si tu migogoro kwny ndoa zenu au mahusiano yenu kuvunjika au kuachwa hata jamii zimewachoka wanawake na mamb hayo ya ajabu km mnatak kutuuzia mtuuzie tu jumla jumla na cheti cha Ndoa kiandikwe kabisa kuwa Hawa Mke na Mume ni Bussiness Partners ili endapo biashara itakuwa mbaya ni ruksa partner mmoja kwenda kuangalia Masoko nje kuliko hizi pasi za Counter Attacks Mnazotupigia ndani ya Ndoa / Mahusiano Kesho keshokutwa mkikuta tunawavalia mpira msishangae mkauliza et tumeanza lini? Akat tushashtuka mchezo Umebadilika Fomural wachezaji wafunguke Tufanye Both Team to Score Atakaeshinda Ashinde ila nyavu zitikisike...

Conclusion: Anyway, Nipo na Mdogo wake na Mpenzi wangu hapa Tunafanya Jogging taratibu tumepishana na Mpenzi Wetu yupo na Mpenzi Wake Wanafanya Morning workout.

Captain JOE BIDEN (ZEE LA KAZI) Nailed It
 
Ile juzi ilikua geresha, hii ya leo sasa ndo SIKU YA WANAWAKE! kila ukibonyeza Trending zinascrow sekunde chache zinakuja nyuzi za wanawake, Khaaa..
 
Back
Top Bottom