Tuwalinde vijana na watoto wetu na hawa watu wanaoitana "Ma-Uncle"

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,739
Moja ya vitu ambayo huwa sifanyi ni kukimbia, mara ya mwisho ukiacha leo sina kumbukizi ni lini nilikimbia sio marathon, jogging, mvua au kuwahi sehemu kwangu kukimbia bila sababu za msingi ni hapana.

Leo imenibidi nikimbie, nikimbie toka nilipokuwa nimekaa nikatokomea kusikojulikana.

Baada ya mida ya kazi na ile hali ya kubadilisha mawazo ya hapa na pale namna gani Tanzania inafika uchumi wa kati, moja ya watu niliokuwa nao alinishtua alipokuwa anaongea na uncle wake, aise hapana. Inakuaje mwanaume kwa mwanaume mnaongea unatabasamu na kucheka cheka kama unaongea na mwanamke?

Pili, najua kuna baadhi ya watu walishavuka hela kuwa tatizo kwao, yaani hela watu wanazo, imefikia hatua hela sio primary objective kwao. Lakini hata uwe tajiri vipi hauwezi kumtumia mtu hela bila hata ya maswali mawili matatu. Mtu (mwanaume mwenzako) anakwambia anaomba, saa hiyo hiyo unamwambia unamtumia bila hata kuguna au kujiuliza? Eti ni uncle!

Aisee kama una mtoto au kinaja wako unasikia akiongea na simu wanaitana ma-uncle sijui ma-ankoli na mtu yoyote, anza kuchunguza, kufatilia na ku-block hawa watu, muda sio mrefu au tayari watakuwa wameanza kufanya michezo michafu.

Imenibidi nipotee kama jini, nimenyanyuka nilipokuwa nimekaa, nduki. Wanauliza vipi mbona hatukuoni, nikasema nyumbani huko dada wa kazi kaanguka ni wakubeba kupeleka hospitali!

Nimebaki nashangaa yaani mtu smart, HOD, unategemewa lakini unafanya mambo ya ajabu.
 
Anko ni KAKA wa dada wa mtoto sasa shida nini hapo? Mimi pia naitwa anko na watoto wa dada zangu Kuna tatizo gan hapo? Unatutukana ma-anko hujui kwamba mjomba ni mama kwenye tamaduni zetu binti aolewi mpaka mjomba aridhie mjomba akigoma binti aolewi?
Mjomba ni nani?
 
Nyie mnaojifanyaga kuleta taharuki za ushoga mara nyingi nyie ndio WAFIRWAJI WAKUU.

Kwanini unakuwa na mashaka yaliyopitiliza??? Unakuwa kama BUNDI LA KICHAWI!

Hata mtu akinya mafi utamwambia awe muangalifu asiwe shoga kwa kufirwa na mafi?

Huu ni ukichaa!
 
  • Mshangao
Reactions: _ID
Back
Top Bottom