Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sio busara kumkabili mchepuko wa mume wako. Usithubutu kufanya hili kosa. Nasisitiza kwa ukali kabisa sio busara kumkabili mchepuko wa mumeo. Nina sababu zangu mbili za kukushauri hivyo; 1...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf, natumai wote ni wazima, acha niende kwenye uzi moja kwa moja. Jana niliongea na wife usiku akaniambia anahitaji kwenda hospital kupiga ultrasound sababu ni mjamzito. Kweli...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Bila kupoteza muda wadau naomba tupeane update hapa. Imagine unaishi na mwanamke kwa miaka mitatu na mnadinyana haswa. Kumbe mwenzio ni HIV+ anakuficha hakuambii. Mwisho wa siku unakuja kumshtukia...
8 Reactions
94 Replies
5K Views
Hivi inawezekana mwanaume kubakwa na mwanamke? Kwa njia gani? Na mpaka mwanaume ana simamisha, si ina maana yeye ameridhia mwenyewe? Hili swali limekuwa gumu sana kwangu naomba majibu yenu.
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar...
19 Reactions
90 Replies
6K Views
__________________________________________ Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na...
4 Reactions
7 Replies
993 Views
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni...
16 Reactions
180 Replies
9K Views
Habari ya wakati huu watu wangu wa nguvu..ninatumia kila mmoja wetu yuko salama kabisa..Kwa mlio hospitali basi ninaachilia roho ya uponyaji mkapate kupona mapema(ukiamini utaokolewa) Haya twende...
46 Reactions
170 Replies
6K Views
Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue...
1 Reactions
0 Replies
813 Views
Bila kupepesa macho ningependa niende kwenye point yangu ya msingi.. mapenzi yataniua ndugu yenu. Niliachana na mke wangu wa ndoa kwa hasira baada ya kugundua kuwa kwa muda mrefu amekuwa...
18 Reactions
135 Replies
10K Views
Kazi yangu inanikutanisha na wanawake wengi sana, umri umekwenda, mwaka jana nikasema nioe ila mpaka leo imeshindikana, nimekaa nikatafakari sababu kwa nini sijaoa ni sababu za kijinga. 1. Madam...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi sio mgeni hapa JF, Kuna wakati apo nyuma nilikuja kuomba ushauri juu ya binti ambae nilikuwa nimempenda Kwa mara ya kwanza kwenye maisha Yangu, binti ambae bila ya sababu yoyote aliniaacha...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Leo nimeamka na mood za kutosha kwakweli.....then nikapita kwenye app ya mdada mmoja maarufu aliyekuwa ameelezea namna ya kufanya kwenye mahusiano unapokuwa na mwanaume ili aone upendo wako na...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Salaam. October last year niliachwa na mwanaume niliyetokea kumpenda sana. Alionyesha kunipenda na kuahidi ndoa ila mpaka anafikia kusema ITS OVER sikushangaa tokana na mapicha picha nlokua...
31 Reactions
198 Replies
7K Views
Kama unataka kuwa na mwanamke zingatia ratio ifuatayo; 1. Mwanamke nayependa outing hotels, pamba kali, lavish apartment, simu nzuri na Usafiri. Rafiki yangu hapo lazima uwe highly paid, waleti...
13 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana JF Nina rafiki yangu ni mchanganyiko wa kihindi na mwafrka yupo Dar ameajiriwa na kampuni flan kubwa sana ameniomba nimsaidie kupata mke wa kiarabu au mwenye asili ya kiarabu au kizungu au...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me Nachukiwa vibaya mno Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana...
8 Reactions
146 Replies
6K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Amini nawaambia kwamba, wasichana/wanawake wastaarabu bado wapo. Unaweza ukajiuliza kwanini wewe hukutani naye, hukutani naye kwasababu unatumia akili za kibinadamu...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom