Jifunze kuwa mwenye shukrani na mvumilivu

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,385
14,105
Kukosa uvumilivu husababisha kuvunjika moyo haraka sana kwa sababu matokeo mara nyingi yanakuwa tofauti na matarajio yetu hiyo huwa ni kawaida kabisa kwa watu wengi ulimwenguni. Usihisi umerogwa na ukakimbilia mafuta ya upako na tunguli za Waganga)
  • Usivunjike moyo pale unapoona umefanya kila kitu kwa usahihi lakini hupati matokeo unayoyatarajia hiyo ni kawaida hutokea kwa watu wote ulimwenguni.
  • Zingatia kwamba furaha yako ipo ndani ya huzuni yako na ikiwa upon a furaha sana kwa sasa utagundua kwamba sio furaha bali ni yale maumivu makali sana moyoni yaliyokupa huzuni yamegeuka kuwa furaha.

  • Zingatia:
  • Wingi wa maumivu moyoni ni kiashiria cha wingi wa furaha ya baadae ikiwa hutokata tamaa.
 
Back
Top Bottom