Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Chukulia scenario hii. Umemfahamu mwanamke mmoja mrembo hivi ambaye ulikuwa unajua anafahamiana na kaka yako ingawa ulidhani uhusiano wao ni urafiki tu na ujirani mwema. Mazingira yakabadilika...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii ni story ya kweli nilisimuliwa na jamaa yangu nami naileta kwenu kama funzo. Ilikuwa mwaka 2004 ujenzi wa barabara ya Shinyanga-Mwanza umepamba moto chini ya Grinaker LTA nami nikiwa...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari wazee, nimesoma baadhi ya visa vya mahusiano, kama una kisa chako uliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mpaka kufikiria kwenda kutoa barua hili mfunge ndoa lakini ukaja kugundua kumbe...
2 Reactions
8 Replies
968 Views
Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanaume wenzangu! Legally or illegally tupambane tupate madaraka na tupate mshiko. Hebu inagine unakuwa Rais au kigogo... mizigo kama hii unaitafuna sana. Ni kuagiza tu hawezi kukataa. Ukiangalia...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Wanajamvi natumai kwema kwa wote hata mimi pia. Naomba kuuliza huu msemo wa kukosea kuoa ama kuolewa umeharibu maisha; Kimtazamo umekaaje...? Mfano;Mimi nina mke 1, na mtoto 1, nina miaka 5 ktk...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Hellow, Wadogo zetu tunawapenda sana tunawaambia kila siku gono now ndio ugonjwa ambao ume trend sana na watu hawajui. Mimi mwaka jana nilitokea penda manzi mmoja ya tanga, lina minyama kama...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka Jana nilipokuwa nafanya kazi kwenye taasisi Fulani. Alikuja binti mmoja kuajiliwa Aneth (sio jina lake halisi), baada ya kuajiliwa ile taasisi ilikuwa na mambo ya hovyo Sana hasa kwa...
6 Reactions
140 Replies
9K Views
NILIMSABABISHIA MATESO MKE WANGU Mkurugenzi mkuu wa "Merumba Group"alikuwa ofisini kwake akimsimulia binamu yake Richard mkasa uliomkuta miaka miwili iliyopita. "Kuna mdada mrembo sana alikuja...
14 Reactions
340 Replies
191K Views
Mpenzi wangu ni mwalimu wa shule ya msingi, alikuwa kabla hajarudi nyumbani anapitia lodge na mwalimu mwenzie ndipo anarudi nyumbani. Sasa kuna siku nilipewa taarifa na mwalimu mwenzake kuwa...
5 Reactions
349 Replies
70K Views
Jamani kwema? Nilitoka kidogo nikaacha hela mezani,nikamsisitiza aongezee kiasi fulani kutoka kwenye vikoba vyao ili tupate mchele robo tule wali na chai asubuhi hii. Akaitikia sawa, narudi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
By Dr Levy Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na...
1 Reactions
7 Replies
904 Views
Maisha yanaenda kasi saana Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni. Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni. Anatusalimia na kupita zake Jana akapita baada...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Waliona walivyokuwa wakipendana Wakawakubalia kuwa pamoja mwishoni Wakafunga ndoa kubwa Ilikuwa nderemo na vifijo, vibwebwe na vigoma Wakapata watoto Na wakaishi kwa furaha maisha yao yote...
17 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ , sijaoa na wala sina mpenzi wakudumu yaani mwanamke wakuoa bado sijapata.. Nimekua nikikutana na hali ya huzuni sana na...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Hatari sana wakuu, Ni hivi nilikuwa nina mpango wa kupata pesa fulani na wife alikuwa anajua hilo. Nilipata ile pesa ila kwa kuhafilika sikupata nafasi mzuri ya kumuambia wife. Basi tangia jana...
24 Reactions
102 Replies
6K Views
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola! Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari zenu Wana Jf Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Hawa wadudu wanatuendesha kila kukicha. Umewahi kukutana na kauli za kukera, kuvunja moyo ama kuujaza moyo hasira, kukatisha tamaa kutoka kwa mwanamke? Baadhi ya kauli ambazo zinanikera ni ile...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Back
Top Bottom