Je, inawezekana huyu sister ananipenda?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Maisha yanaenda kasi saana

Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni. Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni. Anatusalimia na kupita zake

Jana akapita baada ya dakika fulani akarudi tena na kuniita. Eti msamahani kaka joo. Nikaenda kufika pale alipokuwa akaniuliza swali. Je hivi wewe kaka ni kipofu huoni?. Nikamjibu naona. Akasema ninavyo pitaga hapa mara kwa mara unaonaga. Nikajibu ndio. Alafu Akacheka zake na kuondoka

Mpaka sasa bado najiuliza huyu sister ana maana gani.

Je, inawezekana ananipenda au ni mtego huu ndugu zangu
 
Maisha yanaenda kasi saana
Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni
Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni
Anatusalimia na kupita zake

Jana akapita baada ya dakika fulani akarudi tena na kuniita
Eti msamahani kaka joo
Nikaenda kufika pale alipokuwa akaniuliza swali
Je hivi wewe kaka ni kipofu huoni?
Nikamjibu naona
Akasema ninavyo pitaga hapa mara kwa mara unaonaga
Nikajibu ndio
Alafu Akacheka zake na kuondoka

Mpaka sasa bado najiuliza huyu sister ana maana gani
Je inawezekana ananipenda au ni mtego huu ndugu zangu
Kma vip ruka nae piga mbususu
 
Kwa hiyo wewe na midevu yako asubuhi mpaka jioni upo tu hapo kwenye kibenchi unatazama wanawake wanaotoka asubuhi na kurudi jioni.. ama kweli wanaume hakuna wacha mlelewe tu na wanawake.
 
Maisha yanaenda kasi saana
Kuna dada fulani mtaani kwetu bado ni mgeni
Huyo dada na muonanaga anapita maeneo ya home kila siku asubuhi na jioni
Anatusalimia na kupita zake

Jana akapita baada ya dakika fulani akarudi tena na kuniita
Eti msamahani kaka joo
Nikaenda kufika pale alipokuwa akaniuliza swali
Je hivi wewe kaka ni kipofu huoni?
Nikamjibu naona
Akasema ninavyo pitaga hapa mara kwa mara unaonaga
Nikajibu ndio
Alafu Akacheka zake na kuondoka

Mpaka sasa bado najiuliza huyu sister ana maana gani
Je inawezekana ananipenda au ni mtego huu ndugu zangu
Kazi kweli kweli
 
Hizi ni zaid ya za uso Loh!

Pole sana mkuu hao ndio binadamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom