Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

Chikwangara

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
685
939
Mpenzi wangu ni mwalimu wa shule ya msingi, alikuwa kabla hajarudi nyumbani anapitia lodge na mwalimu mwenzie ndipo anarudi nyumbani.

Sasa kuna siku nilipewa taarifa na mwalimu mwenzake kuwa kuna mchezo unaendelea kati ya mpenzi wangu na huyo mwalimu mwingine.

Nikatega mtego, nikawanasa nikaachana naye.

Wengine ilikuaje na mlitatua vipi?
 
Ilikuwa bahati mbaya tu.
Nilishika simu whatsapp
Nikakutana na sms nzuri
Nikascreenshot haraka
Nikajitumia na kumtumia
Ndio! Yeye na mpenziwe
Nikaweka dp ktk wasap
Sura ya mpenzi wa mke
Nikala bati kiutu uzima
Yaliyotokea ndio hivyo

Bazazi
 
Aisee, alikua anatoka kwenda kazini saa12 asubuhi anarudi saa5 usiku,
Mimi nikajua kazi nyingi,
Alikua anatoka saa 5 kwenda club na kurudi saa 12 asubuhi hajalewa wala nini nikasema nimuache alienda kufurahi baada ya kazi,
mke wangu namuamini hawezi kuchepuka kama hajalewa,
Siku nyingine aliniambia ametoka gesti kulala, nikamwambia Ni vizuri kubadilisha mazingira, sio kila siku kulala nyumbani,
🤔😞Siku hiyo sitaisahau alirudi saa 5 usiku alafu akakimbilia kuoga, wakati hana kawaida kuoga baada ya kutoka kazini mpaka muda wa kulala, na Hana kawaida ya kutoka jasho😟,


😖Siku hiyo nikagundua MKE wangu anachepuka😭.
 
Back
Top Bottom