Habarini za Weekend wana-jumuiya.
Wanaume tunapitia mengi sana.
Mwaka 2017 nilipatwa na tukio ambalo sitokuja kulisahau ingawa nilishasamehe na maisha yakaendelea. Nakumbuka juzi nilileta uzi...
Niaje katika jukwaa hili…
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.
Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa...
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!
Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of...
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you?
My father simply couldn’t accept...
Hakuna kitu nafurahia kama kupishana na mwanamke akiwa na mtoto wake wote wakiwa nadhifu na wamependeza unaona kuna combination na bond nzuri kati ya mama na mtoto.
Kazi ipo hapa unakutana na...
Nikiwaambiaga watu ya kwamba Afrika tamaduni zetu na dini zetu za asili ni bora kuliko hizi dini zilizoletwa kwa ajili ya biashara ambazo ni ukristu na uislamu huwa wanabisha.
Hebu tazama maasai...
Ramadhan Kareem!
Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana.
Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa.
Kuweni karibu na binti zenu...
Ndoa ni kiungo muhimu zaidi chenye raha na starehe kubwa wahusika wanapochunga mipaka na kutunzana vilivyo. Kwa upande mwingine, huweza kuwa chanzo na masikitiko makubwa maishani iwapo hutatumia...
J pili njema kwa ndugu zetu Wakristo.!
Mfungo mwema kwa ndugu zetu Waislam!.
Huyu ni wa 11 naye amenichukia ghafla tu bila sababu. Hivi mwanaume kujipenda ni dhambi? Mwanaume kula au kuvaa...
Ninaposoma comments za watu humu mtandaoni especially wanaume na nkiona na hali ilivyo mtaani, sipati picha kwa mfano Mungu akiiacha hii dunia iendelee miaka 500 mbele, taasisi ya ndoa itakuwa na...
Nisiseme mengi, nimekaa pale na Jack Daniels yangu nawasubiri mguse 30s muanze kutulilia tuwaoe.
Nna madem fln wanne 30s and above hv wote wako mikoa tofauti, siwezi waita michepuko sababu huwa...
Habari wana member wenzangu..poleni na majukum ya Kila siku...niende moja kwa moja kwenye mada...
Mwaka Jana nlipata mdada wa kazi nyumbani kwangu,.kwa kuletewa na wakwe kutoka kijijini.. kwa...
Wanaume,
Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone.
Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae.
Bado...
Kutongoza ni mchakato.
Sio kitendo cha siku moja au saa moja, bali ni kipengele kwenye maisha yako. Huwezi kukikwepa. Labda kama huna mpango na wanawake.
Kutongoza kunachukua muda.
Kutongoza...
Mungu ni mkuu bwana, kwenye maisha usikate tamaa.
Baada ya miezi kazaa kukaa bila mpenzi mwanaume bila mwanamke hawezi, tusidanganyane, ila ni kwa wale tu ambao wako imara, siyo wanaume wapiga...
Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa...
Habarini wakuu !
Leo nimepata muda wa kutulia naomba ni share na nyinyi kisa hiki ili muweze kujifunza kama ikiwezekana.
Mwaka 2018 nilienda mkoa K kwa lengo la kutafuta maisha, nlifikia kwa...
Sometimes unaachwa na baby wako kwa sababu ambazo sio za msingi mpaka unahisi tu hapa nimetafutiwa sababu [emoji2].
Funguka, kama yamewahi kukukuta, uliambiwaje?[emoji1787]
Wanajamvi, wasalaam!
Kama mada inavyojieleza, nahitaji mwanamke seriously tuingie katika mahusiano. Huyo mwanamke LAZIMA awe:
(A)
-Askari polisi, au Uhamiaji,
-Askari JWTz,
-Daktari wa binadamu...
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
Wizi
Utapeli
Wake za watu
Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.