Habari wana jf,Leo nitazungumzia dhana ambayo imejengeka kwa baadhi ya imani kuwa ni vibaya kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Nianze na mkasa wangu namna hii-
Kuna kaka mmoja alitokea kumpenda binti...
Wiki iliopita nilikutana na dada njiani hapa mtaani kwetu, nikamuomba namba akanipa, baadaye nikamwambia atafute siku tuonane kwenye mgahawa/restaurant for a lunch date, tufahamiane zaidi...
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi.
Mimi kiasili nina...
Miaka kumi iliyopita yani 2009 niligraduate bachelor of Education in Arts UDSM nilikuwa na mpenzi wangu aliyekuwa anaitwa Rechael yeye alikuwa anasoma Bachelor of Tax .. IFM .
Hakika tulipendana...
Napenda Sana mavazi waliyovaa wanawake wa zamani.Mavazi yanayopiga kelele kuwa "Mimi ni mwanamke".Enzi za mababu zetu unapokutana na Mwanamke huhitaji kumchunguza mara mbili mbili kama ni mwanamke...
Hellow, Habari Wana JF. Sorry Mimi sio muandishi mzuri hua nachanganya capital letters katikati,
As normal Jf imekuwa na member bright sana ambao wengine washachomwa mishale mingi sana kwenye...
Habari wa JF,
Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na...
Kama mada inavyosema.
Kuna vijana wenzangu wanaamini kuwa ukioa mwanamke aliyebikra ni salama zaidi na mahisiano au ndoa yake itadumu na atakuwa hana presha na mkewe.
Mtu yuko tayari kuchukua...
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada...
Ukiona unapata shida kwenye mapenzi, hauridhiki na mapenzi unayopata, hauridhishwi kitandani. Kiasi kwamba unaona hutokuja kupata mapenzi ya kweli. Au umekata tamaa ya kufaidi mapenzi.
Usijali...
Habari ndugu zangu, nina rafiki yangu ambae tunapendana sana.yeye ni mwanafunzi wa chuo lakini pia anamchumba ambae soon tu akimaliza chuo wanatarajia kufunga ndoa. sasa tatizo ni kuwa amepata...
Habari wana JF
Mapenzi yapo tangu enzi na enzi, mapenzi yanaleta hisia tofauti tofauti katika maisha ya mwanadamu iwe furaha huzuni, hasira msongo wa mawazo n.k.
Maada yangu ya leo inajikita...
MSAADA TAFAZALI
Jambo wandugu zangu wa Tz natumaini nyinyi wote mna afya tele.
Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu kuomba msaada kwenu kwasababu nasumbuliwa sijuwi kama ni ugonjwa wala kitu gani...
Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................
Natoa ushuhuda ambavyo imewahi...
Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo?
Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya...
Brother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za...
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba...
Nimekutana na bwana mdogo akisikitika sana, nilipo muuliza ni kipi kimekusibu?
Kumbe ilikuwa hivi, bwana mdogo alikuwa anachakata mbususu ya bure bure kutoka kwa dada wa kazi (beki tatu)...
Baada ya Mahakama kutamka kuwa Hakimi hamiliki pesa wala mali yoyote, Hakimi akaanza ku trend mitandaoni. Watu wakampatia sifa zenye rangi, harufu na maumbo yote.
Ikumbukwe kwamba, suala hili...