Kulazimisha kuoa bikra ni ulimbukeni.

Tairus

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Messages
475
Likes
326
Points
80
Tairus

Tairus

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2013
475 326 80
Kama mada inavyosema.

Kuna vijana wenzangu wanaamini kuwa ukioa mwanamke aliyebikra ni salama zaidi na mahisiano au ndoa yake itadumu na atakuwa hana presha na mkewe.

Mtu yuko tayari kuchukua demu kijijini na ni msomi wa chuo waje waanze kupanga maisha.
Nakuhakikishia mtaishia kupoteza muda tuu.
Dunia imebadilika sana sio kisa baba yako alimuoa mama yako hakiwa hana elimu na wewe unachukulia rahisi tuu.

Ukitaka kuamini dunia ya sasa sio ya zamani muulize huyo baba yako kama akiambiwa atafute mke sasa ivi ataenda kule alikomchukua mama yako.

Nikirudi kwenye mada..jiulize bikra ni nin kwan na nin hasa maana yake.Hujawahi kuona mwanamke anaachika na ndani ya mwezi anaolewa tena.Inabidi tufahamu maana ya ndoa kwanza ndo tuje huko kwenye maswala ya ubikra tatizo liko hapo wengi hatujajua vizuri maana ya ndoa.

Tusisahau pia zamani ndo ilikuwa jambo la ufahari kuoa bikra ila ukisema unamtafuta demu bikra aliyemaliza hata diploma tuu ni mmoja au wawili wenye degree,kwa mamlaka niliyopewa na JF kuandika uzi huu nasema HAKUNA.

La mwisho;Tupige kazi tuu tujenge taifa letu aya maswala ya kufuatilia wanawake kujua kama alishalala na wanaume wangapi mtakuja kufa siku sio zenu.

Kuna kitu sijasema???
 
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
6,921
Likes
9,512
Points
280
Zero IQ

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
6,921 9,512 280

Punyeto ndio self service haina kugongewa ni wewe na sabuni au mafuta
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,736
Likes
1,891
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,736 1,891 280
Bikra wapo wachache,ila hakuna kitu kizuri Kama kuoa mwanamke bikra,hiyo ndo maana ya lile vazi jeupe la shela,pia hiyo hata katika maandiko ya kiislamu na kikristo yanaelekeza kuoa bikra, binafsi siwezi kuoa mwanamke asiye bikra afu kanisani,Ni unafiki,soona namuoa mtoto zainabu mtoto wa dodoma kamaliza form four,she is a virgin
 
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
2,897
Likes
3,760
Points
280
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
2,897 3,760 280
Siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra.
Keep it Laachi.
 
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,608
Likes
1,901
Points
280
Age
52
K

kinyama nje

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,608 1,901 280
me bado ni muumini wa bikra usidanganye watu inaonekana washa kubambinka
 
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
6,239
Likes
6,607
Points
280
Age
58
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
6,239 6,607 280
Bikra huolewa na bikra mkuu!wewe umebandua wenzio 100 huko halafu unasaka bikra
 
BradFord93

BradFord93

Senior Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
154
Likes
164
Points
60
BradFord93

BradFord93

Senior Member
Joined Oct 11, 2017
154 164 60
Tusidanganyane bhn....kuoa bikra kuna faida yake...!!kwanza unajiamini...na ni heshima kwako pia...!!wew kazana na mikulumbembe yako
 
Maurice Moore

Maurice Moore

Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
89
Likes
116
Points
40
Maurice Moore

Maurice Moore

Member
Joined Aug 22, 2018
89 116 40
kaoe ukute mtoto goigoi kunako 6*6 my friend utafungua shule ya kufundisha mapenzi nyumbani huo muda wa kufundishana mimi sina....binafsi sipendi mwanamke bikra...wanakuwaga wasumbufu xn afu wageni sana kunako mahaba! Napenda wazoefu wenzangu tuchunge muda
Bikra wapo wachache,ila hakuna kitu kizuri Kama kuoa mwanamke bikra,hiyo ndo maana ya lile vazi jeupe la shela,pia hiyo hata katika maandiko ya kiislamu na kikristo yanaelekeza kuoa bikra, binafsi siwezi kuoa mwanamke asiye bikra afu kanisani,Ni unafiki,soona namuoa mtoto zainabu mtoto wa dodoma kamaliza form four,she is a virgin
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,736
Likes
1,891
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,736 1,891 280
kaoe ukute mtoto goigoi kunako 6*6 my friend utafungua shule ya kufundisha mapenzi nyumbani huo muda wa kufundishana mimi sina....binafsi sipendi mwanamke bikra...wanakuwaga wasumbufu xn afu wageni sana kunako mahaba! Napenda wazoefu wenzangu tuchunge muda
Yap kila mtu na mtazamo wake wa angle yake ambayo ameipa priority kubwa,kea mfano Kuna watu wanamuelewa jiwe wengine hawamuelewi
 
BAF

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Messages
253
Likes
280
Points
80
BAF

BAF

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2017
253 280 80
Bikra ndio habari ya mjini mkuu Mimi Sina mashaka kabisa,wanawake bikra wapo na watamu kupita maelezo,ukimtoa mwanamke bikra ni agano kamili Kati yake na wewe.
Ndoa nyingi zinapata shida siku hizi kwasababu watu wameingia maagano na watu wengine ambao sio mke au mume.

Bikra bikra bikra inalipa Sana,
 
wined

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
1,190
Likes
1,201
Points
280
wined

wined

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2015
1,190 1,201 280
Kabla sjasoma body. Kila mtu anafanya apendavyo
 
wined

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
1,190
Likes
1,201
Points
280
wined

wined

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2015
1,190 1,201 280
Bikra wapo wachache,ila hakuna kitu kizuri Kama kuoa mwanamke bikra,hiyo ndo maana ya lile vazi jeupe la shela,pia hiyo hata katika maandiko ya kiislamu na kikristo yanaelekeza kuoa bikra, binafsi siwezi kuoa mwanamke asiye bikra afu kanisani,Ni unafiki,soona namuoa mtoto zainabu mtoto wa dodoma kamaliza form four,she is a virgin
Umejuaje ni vajin
 
Acha kuoa under 18 mika 30 itakuhusu
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,736
Likes
1,891
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,736 1,891 280
Acha kuoa under 18 mika 30 itakuhusu
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,736
Likes
1,891
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,736 1,891 280
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kananipikia kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba
 
wined

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Messages
1,190
Likes
1,201
Points
280
wined

wined

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2015
1,190 1,201 280
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba
Hahahaaaaa dah duh. Acha some na afike chuo huko watombe arudi kwako haipo. Nasisitiza acha some kwa manufaa yake ya baadae.
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,276
Likes
7,317
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,276 7,317 280
She is 18, nimetoa mahali 1.2 million na mzee wake elfu kumi kumi akihitaji huwa namtoa,Ni kadogo,kazuri,kana mavi, kananiheshimu,kananifulia,kapole hakana mambo mengi hakika kananifaa Sana,ngoja kakifika 21 ntakapa mimba
huhuhuhu hadi 21 wafwaaa
 
Forum statistics

Threads 1,238,954
Members 476,289
Posts 29,337,891