Mwanamke anaweza kuwa mdangaji/golddigger lakini kama ana roho nzuri anaweza kuwa wife material mkadumu till end

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada ya mumewe kuhaso kumpata.

Wengine waliolewa kupunguza ugumu wa maisha/kwa kuangalia kipato cha mwanaume lakini ndoa zao zimedumu zaidi ya miaka 30..nlivochunguza niligundua hao wanaume kwenye ndoa wanatimiza majukumu yao, na wanawake wana tabia nzuri na roho nzuri, na tabia mbaya/mapungufu yanayovumilika.

Hivyo hawa wadada wanaoomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa, kama wana roho nzuri/tabia nzuri, mkiingia kwenye mahusiano ya kindoa na mwanaume ukawa sio pasua kichwa unahudumia familia vizuri, mnashangaa mnazeeka wote mkiwa kwenye ndoa.

Nimewaza tu.
 
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada ya mumewe kuhaso kumpata, wengine waliolewa kupunguza ugumu wa maisha/kwa kuangalia kipato cha mwanaume lakini ndoa zao zimedumu zaidi ya miaka 30..nlivochunguza niligundua hao wanaume kwenye ndoa wanatimiza majukumu yao, na wanawake wana tabia nzuri na roho nzuri, na tabia mbaya/mapungufu yanayovumilika..

Nimewaza tu..
Angekuwa na roho nzuri asingedanga on the first place.

Immagine anatoka na Mume wa mtu kabisa akijua fika kwamba anafamilia yake na watoto wanaomtegemea lakini hicho hicho kidogo anahakikisha anapata chote.
 
2023-30=1993

Ndoa ya mwaka 93 unaifananisha na hii ya miaka hii kijana.

Kwanza mwaka 93 mwanamke aombe hela ya nini?? Simu hakuna, salon chache, usafiri haba. Lazima wadumu coz hamna changamoto, hakuna mambo ya 50/50.

Em changanya vizuri ubongo huo, hiki ulichotoa ni boko.
 
Nimechunguza ndoa za ndugu zangu wengi walionizidi umri, utakuta mama anakwambia mumewe hakuwa kwenye mawazo yake, Alimpenda kijana mwingine, ila imetokea tu ameolewa na mume alie naye sasa baada ya mumewe kuhaso kumpata, wengine waliolewa kupunguza ugumu wa maisha/kwa kuangalia kipato cha mwanaume lakini ndoa zao zimedumu zaidi ya miaka 30..nlivochunguza niligundua hao wanaume kwenye ndoa wanatimiza majukumu yao, na wanawake wana tabia nzuri na roho nzuri, na tabia mbaya/mapungufu yanayovumilika..

Hivyo hawa wadada wanaoomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa, kama wana roho nzuri/tabia nzuri, mkiingia kwenye mahusiano ya kindoa na mwanaume ukawa sio pasua kichwa unahudumia familia vizuri, mnashangaa mnazeeka wote mkiwa kwenye ndoa.

Nimewaza tu..
Hapa napita kimya kimya...subiri waje wajuzi wa haya mambo
 
2023-30=1993

Ndoa ya mwaka 93 unaifananisha na hii ya miaka hii kijana.

Kwanza mwaka 93 mwanamke aombe hela ya nini?? Simu hakuna, salon chache, usafiri haba. Lazima wadumu coz hamna changamoto, hakuna mambo ya 50/50.

Em changanya vizuri ubongo huo, hiki ulichotoa ni boko.
Kwahiyo matumizi ya mwanamke yalikuwa Ni kula tu , usafiri hakuna , kulikuwa hamna Yale Mambo ya "nitumie nauli" walikuwa wanatembea kwa mguu kufuata
 
Umeongea point kubwa sana mkuu
 
Kwahiyo matumizi ya mwanamke yalikuwa Ni kula tu , usafiri hakuna , kulikuwa hamna Yale Mambo ya "nitumie nauli" walikuwa wanatembea kwa mguu kufuata
Na sio kula tu bali kula kilichopo labda ujanja ujanja ni mijini.
Na hata huo ujanja, mwanamke ukijifanya mjanja unaonekana malaya si ajabu jamii ikakutenga.

Mjegeje uufatie wapi na mapori yapo kila kona, ni kuonana tu huko porini hakuna kwenda guest wala geto.
 
Back
Top Bottom