Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikra

Okinawan

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
254
Reaction score
261
Habari wana jf,Leo nitazungumzia dhana ambayo imejengeka kwa baadhi ya imani kuwa ni vibaya kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Nianze na mkasa wangu namna hii-

Kuna kaka mmoja alitokea kumpenda binti mmoja na ikafikia hahali waliamua kuoana.L akini siku kadhaa kabla ya ndoa mpenzi wake akamuuliza huyo mke wake mtarajiwa je,wewe ni bikra?mpenzi wake bila hiyana akamwambia ndio mimi ni bikra.

Baada ya kufunga ndoa yule bwana akagundua kuwa mpenziwe sio bk kama alivyomweleza hapo awali,alipo muhoji kwanini ulinidanganya? Mke wake akamwambia tangu nimemjua mungu mimi ni kiumbe kipya.

NB: Kama mambo yataendelea hivi nashauri kuwe na vifaa vya kupima bikra kwa wanaume na wanawake.Kama ilivyovifaa vya kupimia ujauzito na ukimwi.Hii itasaidia wahusika kujua hali zao kabla ya kwenda kufunga ndoa au kuingia katika mahusiano.
 
Binafsi nashangaa wanaume ambao wamesha pita mambo hayo mara kadhaa tena kwa kuwadanganya dada zetu kuwa watawaoa bila huruma; ila inapofika zamu ya kuoa wanajifanya wamekuwa malaika (wasafi) kwa kutaka mke Bikra?? wanafikiri hao dada walio kuwa nao awali hawapendi kuolewa?? waolewe na nani??
 
daa mkuu umenikumbusha jamaa mmoja alidanganywa kwamba gal ni bikra akauza kiwanja ili ampate kweli akafanikiwa

mwisho wa siku akamkuta used, jamaa kwa hasira akaishia post utoto fb kumaliza hasira (alimdharirisha demu).

kuna watu wakisikia bk wanajua kitu cha maana kumbe kero tupu mambo ya kufinywa, kujaziwa watu kwa kelele yaani bk ni kero.
 
Waoaji wapya, hebu acheni upumbavu wa kununua bidhaa gizani. Angalia bidhaa yako mchana ukiipenda chukua mchana. Kabla hujaoa test huyo ni feki au og, onja kabisa kwa manufaa yako ya maisha. Ukioa hakuna rivaz, labda ujitoe ufaham umkatalie siku za harusi
 
Si unampa talaka tu stress za nini sasa halafu na wewe unamjibu me bikra. [emoji51] [emoji16] [emoji188] [emoji188] mwaga mchuzi wa kuku nimwage wali wa Nazi. Shenzi type...
 
Mkuu wanaodanganya ni wengi. Kikubwa usitarajie bikra, labda ukabe vitoto vya darasa la 4 maana vya la saba na vyenyewe siku bikra vinaiskia kwenye bomba.
 
Habari wana jf,Leo nitazungumzia dhana ambayo imejengeka kwa baadhi ya imani kuwa ni vibaya kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Nianze na mkasa wangu namna hii-

Kuna kaka mmoja alitokea kumpenda binti mmoja na ikafikia hahali waliamua kuoana.L akini siku kadhaa kabla ya ndoa mpenzi wake akamuuliza huyo mke wake mtarajiwa je,wewe ni bikra?mpenzi wake bila hiyana akamwambia ndio mimi ni bikra.

Baada ya kufunga ndoa yule bwana akagundua kuwa mpenziwe sio bk kama alivyomweleza hapo awali,alipo muhoji kwanini ulinidanganya? Mke wake akamwambia tangu nimemjua mungu mimi ni kiumbe kipya.

NB: Kama mambo yataendelea hivi nashauri kuwe na vifaa vya kupima bikra kwa wanaume na wanawake.Kama ilivyovifaa vya kupimia ujauzito na ukimwi.Hii itasaidia wahusika kujua hali zao kabla ya kwenda kufunga ndoa au kuingia katika mahusiano.
Bikra ni moja kati ya mambo tata sana duniani na utata huo unachangiwa kwa kiwango kikubwa na watu kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu maumbile ya uzazi kwa mwanamke.Bikra ni utando mdogo wa nyama wenye umbo la mwezi mchanga unaokaa eneo la chini ya kurinda ( hymen ).Juu ya utando huo ni tundu la uke.Kuna wanawake ambao huzaliwa na bikra na pia wapo ambao huzaliwa hawana bikra kabisa.Wanaume wengi wasio na elimu ya viungo vya binadamu husasani elimu ya viungo vya mwanamke wanaamini kwa uhakika kabisa kuwa mwanamke huzaliwa akiwa na tundu la uke uliozibwa na utando kama wa buibui.Ukweli ni kwamba mwanamke huzaliwa akiwa na tundu lake la uke na utando mdogo wa bikra kwa chini au pengine mwanamke anaweza huzaliwa bila kuwa na hiyo bikra kabisa.Bikra huweza kuharibiwa na vidole vya mhusika au mtu mwingine anapoingiza.Baadhi ya mazoezi ya viungo na undeshaji baiskeli pia huweza kuharibu bikra.Lakini bikra nyingi huvunjwa wakati wa kujamiana.Mwanaume anapoingiza uume ule utando hutanuka kwa kiwango kinacholingana na ukubwa wa uume.Uume mdogo kamwe hauwezi kuvunja bikra bali utaingia kirahisi bila kutanua kirinda na mwanamke hawezi kutoka damu kama ishara ya kuvunjwa bikra hata kama hajawahi kuingiliwa.Kuvunja bikra na kutoa damu inatokea pale tu mwanamke anapokutana na uume mkubwa ambao katika kulazimisha kuingiza ule utando ulio kama mwezi mchanga ulioko chini ya tundu la uke huanza kutanuka kupita kiwango kutokana na ukubwa wa uume.Baada ya hapo utando huo unaweza kuchanika na kutoa damu na ndipo mwanaume anapoona kuwa amemvunja bikra mwanamke.Wanaume lazima waelewa kuwa mwanamke anapozaliwa huzaliwa akiwa na tundu la uke ukiwa WAZI na hakuna utando kama buibui.Wanaume wote wana uume unaotofautiana kwa maumbile ya ukubwa, wale wenye maumbile makubwa ndio wanapata nafasi ya kuvunja bikra kwa sababu ya kuingiza kwa shida na wale wenye maumbile madogo kamwe hawezi kumpasua bikra mwanamke kwa sababu uume mdogo unapenya kirahisi bila kutanua kwa nguvu kile kirinda.Kutokana na imani kuwa mwanamke mwenye bikra ana thamani kubwa kindoa wanawake wengi huadanganya wapenzi wao kuwa ni bikra na kuwafanyia hila ya kumwahidi kukutana kimwili anapokuwa hedhi.Akiingiliwa hujifanya anaumia sana na muda mwingi hubana mapaja yake, atakapokuruhusu kutumbukiza ghafla atakurusha na kuchomoa haraka na wewe ukiangalia utaona damu na utaamini kuwa umemvunja bikra kumbe umeogelea kwenye hedhi!!.Mwisho ni vigumu kumtambua mwanamke kama ni bikra kwa kutegemea kuingiza uume ikiwa wewe uume wako ni mdogo au saizi ya kawaida.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂ulisema ujawai mbona nimeweka tu pwaah! Pwaah! 😂😂😂😂😂inafurahisha sana,
 
Aisee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom