April26
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 1,403
- 2,118
Brother, nina mtoto mmoja na mke wangu (kiserikali) na tuna miaka 3 hadi sasa, naishi nae bila ndoa. Tuna ugomvi mkubwa wa mara kwa mara tatizo ni baada ya kuanguka kiuchumi akaanza tabia zake za kuniforce ili tu mradi nilete pesa home (ni jambo zuri)
Nimetafuta vibarua sijapata ila nafanya online consultation kwa sababu mimi ni mtaalam wa maswala ya afya ya akili (clinical psychologist) so kipato changu kinategemea matangazo yangu mitandaoni na redio ndonnipate clients. Before nilikuwa na kazi makataba ulivoisha ndo mambo yakaanza.
Namkubali ni mwaminifu brother, hana tatizo la makando kando kiukweli hata kama anafanya basi anafanya kwa kuniheshimu.
Kama kawaida tunapokuwa tunashare jambo la sex huwa tuna ratiba sababu ya kuepuka mimba zisizo tarajiwa lakini juzi ananambia tayari kapima na imooo! Yeye ni mtu wa afya.
HAYO YOTE TUACHANE NAYO.
Issue kubwa ni kuwa ndani ya kipindi chote tumekuwa tunagombana sana kwa sababu kuna tabianyangu ya kunywa pombe hapendi tangu nimemuoa hari leo haipiti siku 3 hajakazia kuniacha sababu ya pombe sasa issue imezidi baada ya kupoteza kibarua.
Alivonambia tayari imo na mtoto ana miaka 2 nikamwambia tunalea au hauzai tena na mlevi? Japo mimi sio mlevi hilo ni jina huwa anapenda kulitumia. Basi akajibu tunazaa nikamwambia hapana sitaki (one month tunafanya simple abortion) alikasirika hata sasa naandika hii thread hawaongei vizur japo nia yake anasema sio kutoa.
Sipendi sana kero zake,lawama, bro nakwambia hivi inakera nikiweka stress za kukosa kazi ilio na uhakika anaongea sana inaniuma sana.
Bro kesho tunachonga!
Mimi mmmhhhh, hujanipa hata muda nikushauri?
Kesho bro!
Wana jamvi hiyo hapo, hata mimi sijamwelewa anataka nini?