Kila nikitaka kufanya tendo la ndoa, hapohapo hamu inapotea

Mu congomani

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
608
2,804
MSAADA TAFAZALI

Jambo wandugu zangu wa Tz natumaini nyinyi wote mna afya tele.

Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu kuomba msaada kwenu kwasababu nasumbuliwa sijuwi kama ni ugonjwa wala kitu gani.

Kitu kinachonisumbua ni kila nikitaka kufanya tendo la ndoa hapohapo HAMU INAPOTEA ila kama sina mpango wa kufanya tendo hilo niko nakuwa na hamu ila nikikuwa na mpango huo hamu iko napoteya kabisa hiyo hali imeshanitokea takribani mara 5 halafu ukizingatia mimi ni kijana wa miaka 21.

Naomba msaada wowote tafadhali
View attachment 2600950
 
.
1682548059096.jpg
 
Kitu kinacho nisumbuwa ni kila nikitaka kufanya tendo la ndoa hapohapo HAMU
INAPOTEYA
ila kama sina mpango wakufanya tendo ilo niko nakuwa na hamu ila nikikuwa na mpango uwo hamu iko napoteya kabisa iyo hali imesha nitokeya takribani mara 5 alafu ukizinga mimi ni kijana wa miaka 21.

Naomba msaada wowote tafadhali
View attachment 2600950
Acha punyeto mara moja kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pepo la upinde linazurura nenda kaombewe kwa mwamposa😬😬😬😬
ef55a9d0c4553bff-600x338.jpg
 
MSAADA TAFAZALI

Jambo wandugu zangu wa Tz natumaini nyinyi wote mna afya tele.

Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu kuomba msaada kwenu kwasababu nasumbuliwa sijuwi kama ni ugonjwa wala kitu gani.

Kitu kinachonisumbua ni kila nikitaka kufanya tendo la ndoa hapohapo HAMU INAPOTEA ila kama sina mpango wa kufanya tendo hilo niko nakuwa na hamu ila nikikuwa na mpango huo hamu iko napoteya kabisa hiyo hali imeshanitokea takribani mara 5 halafu ukizingatia mimi ni kijana wa miaka 21.

Naomba msaada wowote tafadhali
View attachment 2600950
Acha punyeto mara moja , pumzika walau wiki 1 bila kuangalia hayo maporno then jitahd uwe unatafuna tembe za kitunguu swaumu kila siku japo kimoja na tangawizi usisahau kufanya mazoezi hata ya kukimbia kidogo.

Punguza mawazo kama kuna majanga unayawazia ,,
Nb
Kama ulikula mke wa mtu hapo subr wataalamu
 
MSAADA TAFAZALI

Jambo wandugu zangu wa Tz natumaini nyinyi wote mna afya tele.

Mimi kijana wenu nakuja mbele zenu kuomba msaada kwenu kwasababu nasumbuliwa sijuwi kama ni ugonjwa wala kitu gani.

Kitu kinachonisumbua ni kila nikitaka kufanya tendo la ndoa hapohapo HAMU INAPOTEA ila kama sina mpango wa kufanya tendo hilo niko nakuwa na hamu ila nikikuwa na mpango huo hamu iko napoteya kabisa hiyo hali imeshanitokea takribani mara 5 halafu ukizingatia mimi ni kijana wa miaka 21.

Naomba msaada wowote tafadhali
View attachment 2600950
Bado mtoto tumbasu gete wewehebu soma kwanza
 
Back
Top Bottom