Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea...
10 Reactions
97 Replies
5K Views
Members, I would like to share with you all a summary of a chapter titled "Secret of a Happy Marriage" from the book written by Ellen G. White in 1943. The name of the book is "Your Home and...
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Baada ya malalamiko mengi sana jukwaani juu ya vijana kuchezea kipigo cha kwenda toka kwa wake zao na migogoro mingine ningependa kushirikisha juu ya kidogo kile ambacho nakifahamu kuhusu mambo ya...
15 Reactions
40 Replies
4K Views
Ni wiki sasa inaisha nikiwa kwenye dimbwi la majonzi baada ya niliyempenda kunitelekeza. Hii ni baad ya kuachana takribani mwezi mmoja sasa kutokana na mahangaiko ya maisha. Mwanzoni tulikuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku mbaya inaweza kuanza kwa kupokea taarifa ambayo mbaya kutoka sehemu yoyote kwa kutarajia au kutokutatajia na inaweza kuvuruga amani ya moyo wako kwa siku hiyo. Katika makala hii inaelezea...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja ya sifa ya wanawake, wanapenda mwanaume anayejiamini, wanaamini kuwa na mwanaume anayejiamini, huwaweka mbali na wivu wa kijinga na kuwa huru na maisha yao iwe ni kukutana na watu wengine...
7 Reactions
56 Replies
6K Views
Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe...
14 Reactions
170 Replies
4K Views
Mimi nimekuwa nikijiuliza maswali muda mrefu sana, kwanini Wazungu tu ndio hilo swala la ndoa za mkataba ndio wamelipa kipaumbele sana kuliko sisi Waafrika? Na hilo suala mimi nimekuwa...
0 Reactions
8 Replies
723 Views
  • Closed
Wakuu naomba niende kwenye Mada Nilianzisha mahusiano ya Kimapenzi na Dada mmoja mwaka 2018, Nakumbuka wakati tunakutana mambo yangu kifedha yalikuwa yanakwenda vizuri tu. Nilikuwa na Biashara...
5 Reactions
45 Replies
7K Views
Ikiwa; 1. Hamfanani tabia, mtadumu. 2. Mmoja ana pesa mwingine hana, mtadumu. 3. Mmoja amesoma mwingine hajasoma, mtadumu. 4. Wote kabila tofauti, mtadumu. 5. Mmoja muongeaji mwingine mkimya...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit...
16 Reactions
56 Replies
3K Views
Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill, basi nikaona simu nipo maeneo yenu, nikasema powa, nani jamani yule mtu tumuite shado, humu kuna siku mtu alikuwa ananidis sana na wengine wakaniita...
20 Reactions
282 Replies
9K Views
Polen na majukumu! Miaka kadhaa iliyopita nilioa, mwenzi niliyeoa alikuwa amesha zaa na mtu mwingine. Moyo wangu ukatokea kumpenda hata kama alikuwa na mtoto, nilianza naye maisha...
16 Reactions
106 Replies
13K Views
Wadau, wiki liliyopita nilikuwa moro kwa mambo yangu binafsi. Mishale ya saa tano nikatinga baa moja kupata maji ya ilala. Mezani nilipokaa nilikuwa peke yangu, kupiga funda tatu tu, jimama...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Nipo njia panda kwa kweli.... Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza Picha kwa hisani ya Google
2 Reactions
76 Replies
4K Views
Advice Huku mtaani ,majumbani barabarani habari ni kutelekezwa kwa watoto na kila familia Basi hukosi zao la single mothers au kijana wa ovyo aliyetia wanawake Mimba bila kuwaoa What I need to...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanawake wengi wa sasahivi wamekuwa ni pasua kichwa katika familia zao.Wanafanya mambo ambayo yanachochea UGOMVI na chuki Kila mara. Hawana heshima Kwa Waume zao sababu hawajui thamani ya...
2 Reactions
10 Replies
954 Views
Awe mwanamke...Mwenye Hofu ya Mungu, uzuri wa wastani, urefu wa wastani. Dini yoyote ndani ya Ukristo. Umri wake kuanzia 27-30 Awe hajawahi kuolewa pia asiwe na Mtoto, Ila awe na Uwezo wa kuzaa...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti. Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom