Changamoto Kuu Za Kuwa Na Mahusiano Na Mwanamke Anayejali Kazi Yake Tu

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
661
Mwanamke kuwa na kazi ni sawa.

Japo zama zimebadilika, ila kiasili mwanamke anaweka mahusiano kama namba moja alafu ndo vitu vingine.

Lakini mwanamke anayeweka kazi yake namba 1 huwa inaleta shida kimahusiano. Kunakua kuna utofauti wa kiasili kati yake na mwanaume.
Kwa mwanaume ni rahisi kuweka kazi yake namba moja, mahusiano namba mbili na akafanikiwa katika vyote. Sababu ni asili ipo hivyo.

Inapotokea asili imebadilika, kunakua na changamoto.
Changamoto zinazosababisha mwanaume asiweze kuendelea naye. Mahusiano yanakua magumu. Yanakua sio kiasili. Na wanawake wengi waliofanikiwa unakuta wanalalamika wanakosa wanaume bila kujua wamepindisha asili.

Hajui kuacha mashindano ya kazini.
Kazini ni mashindano.
Mashindano ya kikazi ni sifa ya kiume.
Muda wote inabidi ufanye kazi kwa bidii. Uwe katika hali ya usiriazi na hakuna mchezo mchezo wala muda wa kuchombezana.

Mwanamke anapokua kazini anashindana na wanaume.
Hivyo naye inabidi afikiri kama wanaume ili afanikiwe. Atachukua sifa za kiume. Atakua mbishi mno, hakubali jambo kirahisi, muda wote anataka ashinde. Na atakuja na hizo sifa hadi nyumbani.

Wanawake sio wazuri kutenganisha muda wa ushindani na muda wa kujiachia kulinganisha na wanaume.
Sababu sio asili yake, na ataona sifa za uanamke ni kama kufeli.
Vitu kama kukubaliana na mwanaume wake, kujishusha atasema hawezi.
Na wanaboa ukikaa nao.

Muda mwingi anautumia kazini.
Hana muda wa mahusiano.
Hana muda wa mazoezi ya mwili. Anafutuka.
Anasafiri sana kiasi kwamba muda wa mahusiano unakua mgumu kupata.
Uchovu utakua unamjaa kila siku kiasi mtakosa muda wa mapenzi.
Na atakua anazeeka haraka. Sababu ya changamoto nyingi za kikazi.
Mwanamke aliumbiwa kufurahi sio kupambana sana kama mwanaume.
Kazi yake inakua namba moja, vitu vingine anavyopenda namba mbili na wewe ndo unafikiriwa namba tatu akipata muda.

Anafikiria mapenzi kama mwanaume.
Kwa sisi wanaume tunapenda tupate mapenzi kirahisi.
Kwa wanawake wanapenda iwe kama muvi na ichukue muda.
Lakini kwa mwanamke anayefikiri kama mwanaume atakua hana uo uanamke. Kwake ataona hawezi kujishusha. Na atafikiria kupata mapenzi haraka.

Anakua na masharti mengi kwenye mahusiano. Na kufanya mapenzi ni kwa ratiba badala ya kuwa kitu kinachotokea tu.
Hakuna cha kuchombezana, kutomasana ila atakufata tu, “leo nina hamu njoo tufanye”.
Na ukaribu wenu kihisia unakua mdogo.

Wanaume wengi wanashindwa hayo. Wengine hukaa nao tu muda mfupi na kuachana.
Wanawake wa hivyo hujikuta na wanaume dhaifu.
Uyajue hayo, ikiwezekana mshirikishe naye ayatambue.
 
Kwanini uoe mwanamke alio ajiriwa ni kutafuta stress za ndoa bure wakati kuna dropout wa darasa la saba f4 f6 na unemployed graduates ambao wako tayari kwa kuhudumia mme tu.
 
Hahahaa nimecheka sana. Eti drop out
 
Dogo huwa sometimes nakuelewa sana!

Mwanaume toka ukatafute mahitaji na maendeleo ya familia yako mkeo akae nyumbani akiwalea watoto wenu.ukitaka usiishi kwa amani nenda nje ya utaratibu huu uone matokeo yake.
 
Mwanamke kuwa na kazi ni sawa.

Japo zama zimebadilika, ila kiasili mwanamke anaweka mahusiano kama namba moja alafu ndo vitu vingine.

Lakini mwanamke anayeweka kazi yake namba 1 huwa inaleta shida kimahusiano. Kunakua kuna utofauti wa kiasili kati yake na mwanaume.
Kwa mwanaume ni rahisi kuweka kazi yake namba moja, mahusiano namba mbili na akafanikiwa katika vyote. Sababu ni asili ipo hivyo.

Inapotokea asili imebadilika, kunakua na changamoto.
Changamoto zinazosababisha mwanaume asiweze kuendelea naye. Mahusiano yanakua magumu. Yanakua sio kiasili. Na wanawake wengi waliofanikiwa unakuta wanalalamika wanakosa wanaume bila kujua wamepindisha asili.

Hajui kuacha mashindano ya kazini.
Kazini ni mashindano.
Mashindano ya kikazi ni sifa ya kiume.
Muda wote inabidi ufanye kazi kwa bidii. Uwe katika hali ya usiriazi na hakuna mchezo mchezo wala muda wa kuchombezana.

Mwanamke anapokua kazini anashindana na wanaume.
Hivyo naye inabidi afikiri kama wanaume ili afanikiwe. Atachukua sifa za kiume. Atakua mbishi mno, hakubali jambo kirahisi, muda wote anataka ashinde. Na atakuja na hizo sifa hadi nyumbani.

Wanawake sio wazuri kutenganisha muda wa ushindani na muda wa kujiachia kulinganisha na wanaume.
Sababu sio asili yake, na ataona sifa za uanamke ni kama kufeli.
Vitu kama kukubaliana na mwanaume wake, kujishusha atasema hawezi.
Na wanaboa ukikaa nao.

Muda mwingi anautumia kazini.
Hana muda wa mahusiano.
Hana muda wa mazoezi ya mwili. Anafutuka.
Anasafiri sana kiasi kwamba muda wa mahusiano unakua mgumu kupata.
Uchovu utakua unamjaa kila siku kiasi mtakosa muda wa mapenzi.
Na atakua anazeeka haraka. Sababu ya changamoto nyingi za kikazi.
Mwanamke aliumbiwa kufurahi sio kupambana sana kama mwanaume.
Kazi yake inakua namba moja, vitu vingine anavyopenda namba mbili na wewe ndo unafikiriwa namba tatu akipata muda.

Anafikiria mapenzi kama mwanaume.
Kwa sisi wanaume tunapenda tupate mapenzi kirahisi.
Kwa wanawake wanapenda iwe kama muvi na ichukue muda.
Lakini kwa mwanamke anayefikiri kama mwanaume atakua hana uo uanamke. Kwake ataona hawezi kujishusha. Na atafikiria kupata mapenzi haraka.

Anakua na masharti mengi kwenye mahusiano. Na kufanya mapenzi ni kwa ratiba badala ya kuwa kitu kinachotokea tu.
Hakuna cha kuchombezana, kutomasana ila atakufata tu, “leo nina hamu njoo tufanye”.
Na ukaribu wenu kihisia unakua mdogo.

Wanaume wengi wanashindwa hayo. Wengine hukaa nao tu muda mfupi na kuachana.
Wanawake wa hivyo hujikuta na wanaume dhaifu.
Uyajue hayo, ikiwezekana mshirikishe naye ayatambue.
KATAA NDOA, YOTE HAYA YA NINI MWAMBA!!!!?
 
Back
Top Bottom