Shinbet18
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 255
- 264
Hi JF!
Looking for my beloved friend by the name Alphoncine. Mara ya mwisho tuliachana chuoni Morogoro yeye alihama chuo kingine katika mazingira ya kushtukiza mimi nikiwa sipo chuoni nilipata dharura.
Alikuwa na rangi ya chocolate halisia alikuwa na dimpoz akicheka naweweseka. Mpole original si mnene si mwembamba. Chuchu zake ndogo sana za asili.
Anaongea taratibu kwa ukarimu sana kila siku. Sauti yake nyembamba sana na nyororo ya kuvutia.Anatembea kwa mwendo wa taratibu ni mazoea yake.
Kwa sifa hizo atakuwa kajijua mwenyewe popote alipo kama yumo humu au kwingineko please tuwasiliane nakukumbuka sana rafiki yangu ningetamani sana kukuona tena tangu mwaka 2007 tulipopotezana.
I dedicate the song Alphonsine by Oliver Ng'oma to entertain you everywhere you're.
Thanks.