uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 12,026
- 28,588
Nimempenda Glady na siwezi kuwa nae. Baada ya mda mrefu sikuwahi kujua kuwa nitapenda namna hii dah! kazi sana .
Leo nadhani Glady anaondoka kurejea mwanza nami nitaenda dar anyway ndio maisha moyo wangu umevunjika kiasi flani.
Nimempenda Glady
Leo nadhani Glady anaondoka kurejea mwanza nami nitaenda dar anyway ndio maisha moyo wangu umevunjika kiasi flani.
Nimempenda Glady