Wanawake na wadada wanene kuweni wastaarabu na makalio yenu

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Jul 24, 2013
3,097
1,352
Sina nia mbaya ya kudharirisha zaidi ya kuonya na kusahihisha.

Leo nawambia nyie wamama na wadada wanene muweni wastaarabu na mikalio yenu.Binafsi mnanijera sana tuwapo kwenye usafiri wetu wa mjini daladala na mabasi ya kawaida. Yaani usiombe ukae na hawa watu utashangaa li mdada nene tako kule linakuja na kujitua pajani kwako na halistuki wala kusema sorry.

Leo nimekerwa na lijimama moja kwa daladala limenikuta nimekaa zangu bila kujali ukubwa wa mijitako zake likajibweteka tako moja na nusu kwa siti yake afu nusu nyingine ya kalio lako likanikalizia juu ya kijipaja changu kidogo naliangalia halistuki.

Pia kwa DSM sasa hivi kuna joto sasa mijasho huku inawajulizija mpaka kero. Ata kwenye mabasi wanafanya vilevile nimekuta na haki hii juzi nikitokea Mtwara.

Ushauri

Ebu kuweni wastaarab kwa kukaa angalau na kalio moja au mkikosea omba msamaha mnaudhi sana pia kumbukeni vidoderum ni hayo tu
 
stress plus njaa ni shidaa kwa kweli....starehe gharama ukitaka usikerwe nunua usafiri wako ndugu..
 
Mijimama raha sana kusimama nayo kwenye daladala nyakati za jioni huku limekupa mgongo,full kunyoosha kamba!!!.
 
Watu tunayatafuta hayo mamaza yenye wezere hatuyapati,wewe mwenzetu unayaponda?
 
stress plus njaa ni shidaa kwa kweli....starehe gharama ukitaka usikerwe nunua usafiri wako ndugu..

Utakuwa miongoni mwao msinunue wenye mijitako ya kijinga ni nunue mimi gari ya nini kwani namkera nani?
 
Back
Top Bottom