malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,919
- 4,709
Nauliza dawa gani ya meno isiyokuwa na FLUORIDE maana mim nimgonjwa wa goita
AsantePole Sana
Poleee mkuu tafuta hii DABUR ni ayurvedic haina fluoride..Nauliza dawa gani ya meno isiyokuwa na FLUORIDE maana mim nimgonjwa wa goita
.Tumia Forever Bright kutoka kampuni ya forever living products