Wanahitaji nini?

an alpha male

JF-Expert Member
Mar 28, 2022
831
1,747
Unajua atrraction inakwenda tofauti kwa wanaume na wanawake. Kwa wanaume tunaangalia kwanza muonekano halafu tunafaata tabia ila kwa wanawake ni vice versa wao huanza kwanza tabia kisha muonekano ndo hufuata.

Wanaume wengi hufuata hisia zao linapokuja swala la wanawake. They do wrong things for the wrong reasons at a wrong time, hawachukui muda kuelewa attraction inavyokwenda.

Unajua nini, wanawake hawana mamlaka ya kipi wavutiwe nacho na kipi wasivutiwe nacho. If you communicate the right things in the right way, a woman will become instantly transfixed on you and be literally unable to take attention off of you.

Utajiuliza wanawake wanataka u-communicate nao vipi?

Sikia, wanawake wanaovutia wanataka mwanaume ambaye ana uzoefu wa kutosha wakuweza ku-deal na woman's tests, moods, drama na kuwa comfortable unapokuwa naye.

Mwanaume anayejua wakati gani wakuwa intelligent, nice or good, na wakati gani wa kuwa challenging asiye hitaji kujikweza kwake.

Mwanaume anayewaza kutawala hisia zake mwenyewe katika kila hali na kuwa na utulivu, finally, she wants a man who is totally selfconfident and knows that he can have whatever he wants in life.

Mara nyingi utasikia wanawake wakisema wanapenda mwanaume atakaye mjali,yaan nice guys lakini cha kushangaza utakuta wamezama kwa jerks guys ukabaki unajiuliza nini hiki?

Ebu nikuulize kila siku unakula chakula ambacho ni kizuri kwako? Ama unakula chakula ambacho kina radha nzuri kwako?

Wanawake huwa wanachagua wanaume ambao wanao wapenda wenye radha nzuri kwao na sio ambao ni wazuri kwao.

Siku zote ikitokea kuchagua kati ya kitu bora kwa interest za muda mrefu na kitu ambacho kinatupa furaha kwa muda mfupi...mara zote huwa hatuchagui kitu bora kwa interest za muda mrefu.

Wanaume wengi wanapoteza nafasi ya kupata wanawake wanao wataka kwasababu, wanafikiri wanawake ni bidhaa adimu kuipata hivyo wanawapa umuhimu kupita kiasi. hii inawafanya wawe predictable sana na ukiwa predictable ni unattractive behaviour.

Kuna hii phrase maarufu huwa inasema, "Hatujui thamani ya kile tulichonacho mpaka pale tutakapo kipoteza."

Sasa hii phrase inawezekana uliwahi kuisikia mara nyingi ila acha leo niitumie kwenye ku-build attraction. Kiukweli thamani ya kile tulicho nacho sio kwamba huwa hatujui hapana ila huwa hatufikirii kwamba tunaweza kukipoteza.

Sasa unaonaje kumfanya mtu ahitaji kitu kipya kwa kumpa hicho kitu, halafu unakichukua? Kwa kawaida wanawake ni complicated creatures, kuna muda yupo sawa mnacheka, anajibu text zako, calls ila kuna muda anakuwa kimya bila wewe kuelewa sababu. Sasa hii technique itakusaidia ku-deal na hizo drama zote, hii technique ipo hivi sasa;

"Taking two steps forward and one step back." Hapa ni kama unafanya kitu ambacho yeye anapenda, acha kukifanya kwa muda, halafu kifanye tena. Nasema nini, stop something that's working in order to be successful? Ndio namaanisha hivyo; on/off/on/off sequence.

Hizo tastes kama zitakuwa nzuri zitamfanya atake zaidi, zisiwe boring tastes kuwa mystery usiyetabilika. Kama umeamua kuwa romantic, au kumpa maua ni sawa ila usifanye wakati wote.

Human beings we're programmed to pay more attention to the new and unknown. We think more about mysterious things because we can‘t figure them out.

Women wants you to be interesting. Women wants challenges. It's fun for them.
 
Wanataka kuridhishwa tu kingono hakuna jingine na km huamini hili we mfikishe mwanamke Kilimanjaro ukweli wa kumfikisha uone km hajakusidia na majukumu yko bila kumuomba.
Leo nachangia kila uzi
 
Back
Top Bottom