Habari za muda huu ndugu zangu
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu,
Ndugu zangu mimi ni kijana ambae sijaoa na wala sina mtoto kabisa ila nimevutiwa sana na huyu bi dada anaeitwa financial services...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada,..miezi kadhaa iliyopita wakt nikiwa katika harakti zangu za utafutaji wa ugali ..nilijikuta niko mkoani ambako nilipanga chumba kwa kuzingatia siku ambazo...
Wanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi.
Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu.
Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo...
Salaam!
Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri.
Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa...
Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa..
Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa...
Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema...
Hii ndio tafsiri yake...
Kila mtu ana njia tofauti linapokuja suala la ngono lakini je, unajua kwamba uwazi kwenye mapaja yako unaweza pia kusema mengi kuhusu ujuzi wako wa kufanya mapenzi?
Jua...
Mwaka Jana wandoa wanaume wanadai wamama wabaya Wakaenda Kwa michepuko,
Mwaka huu wamama na shida zao na comments zao na michepuko .
At least mna watoto bwana hebu shukeni mtuambie shida nini...
Jumatatu njema kwenu nyote!
Huwa nafikiria mengi mno, na hawa kaka zake ni kutoka mkoa ule karibu na Tanga, wilaya ile inayoanza na herufi M na kuishia na herufi E.
Hapo kabla kulizuka maneno...
Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana...
Jamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi...
Amani iwe kwenu wakuu,
Hivi ni kipi kinaumiza zaidi katika mapenzi, kuambiwa sikutaki au kuzungushwa sana na kupewa vijisababu visivyokuwa na msingi?
Tunajua kuwa mapenzi huzaliwa, hukua, hufa...
Wakuu hongereni washindi.
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nafanya mapenzi na shemeji yangu mke wa rafiki yangu.
Wakati wa maandalizi ile namvua chupi ulimwagika ute wa kutosha kama maji...
Siku hizi wanaume kuzaa hovyo hovyo na kila sehemu ishakuwa kama fashion vile Ila hii kitu inaaribu psychology ya Watoto wa Nje ya ndoa Yani wanatengwa kwenye kila sehemu hawathaminiki kabisa...
Unjooni mnishauri jmn na wiki mbili chakula hakiliki, mnamkumbuka yule msukuma wangu niliwaambia hajui kukasirka nakufoka?
Sasa Nina wiki mbili tumeachana na mm ndio nimemuacha baada yakumkuta...
Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini.
Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini?
Au hawa warembo...
Wanaume ni wengi kuliko wanawake. Kila mtu atapata wa kwake. Acha kupotezeana muda na mume wa mtu na kuharibu familia ya watu.
Acha kumfurahisha huyo mwanaume asiejitambua acha apambane na uhuni...
Huyu demu kila mara anaomba nimtoe out angalau anywe beer mbili tatu. Na hana aibu kabisa kuomba omba beers kwa wanaume. Sijamzoea kiasi hicho basi tu anaendekeza uswahili.
Mara kadhaa aniita bar...
Jamaa yetu mmoja baada ya kumalizana elimu ya kidato cha nne, Kisha kupitia VETA kusomea mambo ya umeme aliamua kujiunga jeshi la wananchi. Miaka 8 tu baada kukaa jeshini akafukuzwa jeshini kwa...
Katika kutizima sana filamu za hawa watu wa West naona, huwa wana tabia fulani ya kuwa wepesi kuanza mahusiano ya kimapenz baada ya kuonana kwa siku chache tu, au unakuta msichana na mvulana...