Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public). Sasa mikopo ya...
25 Reactions
58 Replies
5K Views
Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na...
17 Reactions
116 Replies
7K Views
1. HIV -UKIMWI 2. Rhesus 3. Genotype 4.Hepatitis B 5. Hepatitis C 6. Magonjwa sugu 7. Magonjwa ya akili 8. Makundi ya damu 9. Magonjwa ya zinaa 10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi...
17 Reactions
80 Replies
6K Views
Wanaume tupambane kwa nguvu zote tufungue biashara ili wake zetu waweze kuzisimamia. Hii hali ya kuoa mwanamke aliye ajiriwa kuna changamoto zake kama ifuatavyo:- Kazi ndio mme wake Mumewe ni...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Modest Bafite atoa maoni yake kuhusu Jackline anayedaiwa kutobolewa jicho na kung'olewa jino na mzazi mwenzie "Ni HAKI ya wanasiasa kuwachukulia watanzania kama wajinga maana wenyewe hu react...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Wewe ni mwanamke wa pekee sana ambaye nimewahi kufahamiana nae. Mwanaume shababi wa kikurya nimekumiss sana mama na nakuhitaji. Ujumbe huu ni wako...
9 Reactions
94 Replies
5K Views
Salam Wakuu, Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote...
11 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna wapenzi mliokutana mizani ya mapenzi iko sawa na mnashidana kupendana zaidi? Imagine kuna mdada unampenda sana lakini yeye kama haelewi how deep you're au anaelewa ila anachukulia for...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi! Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi...
24 Reactions
443 Replies
25K Views
Salaam, Leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni. Pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili)...
43 Reactions
315 Replies
78K Views
Nahitaji kukutana na single mother yeyote ili tupate pamoja lunch na kumbadilisha mawazo pamoja na kuombeana. Gharama za lunch ni juu yangu, aliye tayari aje pm tufanye appointment. Offer hii ni...
4 Reactions
94 Replies
3K Views
Hivi unachukua uamuzi gani baada ya kujua kua mtoto uliemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wakwako? Nini cha kufanya? Then yule mke wako unamfanyaje kwa mfano?
9 Reactions
216 Replies
25K Views
Wapendwa poleni na majukumu. Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Jana nilikua Beach nafanya mazoezi ya viungo, wakati naendelea na kujinyoosha nyoosha likaja gari kali aina ya Prado jeusi, kwa speed yake ikanifanya niache nilichokua nafanya niangalie...
44 Reactions
181 Replies
12K Views
Awe na umri wa miaka kuanzia 45 hadi 50... Awe mfanyakazi mawasiliano PM
1 Reactions
9 Replies
836 Views
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani. Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu...
13 Reactions
96 Replies
5K Views
Hii ndio Taarifa inayotamba ndani ya masaa 24 yanayoendelea hadi hivi sasa, kwamba Bwana Harusi Godlisten Mmbando, week end hii, ndani ya ukumbi wa Sherehe amemkabidhi Bi Harusi zawadi kabambe...
4 Reactions
10 Replies
867 Views
Helllo, Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha...
0 Reactions
2 Replies
479 Views
Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo...
0 Reactions
8 Replies
948 Views
Back
Top Bottom