Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,375
- 12,566
Katika kutizima sana filamu za hawa watu wa West naona, huwa wana tabia fulani ya kuwa wepesi kuanza mahusiano ya kimapenz baada ya kuonana kwa siku chache tu, au unakuta msichana na mvulana wamejuana day one tu, endapo wakipendana hiyo hiyo siku na romance zinaanza.
Ambapo nitofauti na huku kwetu, wasichana wa huku hichi kitu huwa hawakubali, ni wachache wanaofanya hivyo.
Swali ni.... hivo wanavyofanya watu wa West ni vibaya au ni sawa?
Naomba maoni yenu, kwa wew upande wako ukiingia katika mahusiano mapya, unaanza na kutamani kufanya kipi??