Nimebahatika kupata mke na nina muda wa miezi 9 sasa. Cha ajabu toka ndoa mpaka leo mke hajawahi kua na hisia namie.
Na miezi hyo 9 tumesex chini ya mara 3 na zote kwa kubembeleza. Na nisipoomba...
Usijihisi labda una deni kwake.
Usijihisi kuna kitu inabidi umfanyie.
Usijihisi usipompa chochote kitu atakua hakupendi. Hapana. Tambua kuwa huyo mwanamke ni kama mtu mwingine.
Ukiona mawazo ya...
Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa...
Mimi kama Mimi yaani kuna wakati nafanya maamuzi ya kumchapa mtoto wangu wa mwaka na nusu lakini ni lazima nigombane na mama yake,
lakini ninacho jivunia kwa mwanangu ananipenda na ana nitii...
Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule...
Daah salamu zenu wadau.
Kuna hili balaa la kudate na mademu wq vyuo vikuu ni kama kujipaka upupu wa hiari na kujilipua nq baruti ya moyo.
Hawa viumbe kwanza nadhani hata hamu au hisia hawana...
Habarini wana jf,
Kumekuwa na matatizo mengi sana katika mahusiano yetu ya kila siku, hasa ya kamapenzi na hata kijamii(na wenzetu).
Mahusiano hayakai,watu kila siku wanasalitiana,na hata wengine...
Muonekano wako ndo kila kitu. Ndio unaamua watu wengine tukuchukuliaje. Ndio unaamua watu wakuheshimu haraka au la. Muonekano wa nje upo juu yako kabisa. Unaweza kuubadili muda wowote na...
Nimekuwa nikipitia changamoto mbalimbali katika maisha yangu ya mahusiano,najitahidi sana kumuomba mungu anisaidie nipate mtu sahihi na siyo wa kunichezea.
Wiki mbili zilizopita niliandika hapa...
Kama YUSUFU alimlea YESU,
Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA.
Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu.
Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani...
Ndio ni kweli nashindwa kuelewa hii ni hali ya namna gani kwa huyu mwanamke wangu tabia zake naona sio za kawaida natamani kuachana nae lkn nimeshamzoea na inakuwa viguma kiasi flani ndio maana...
Juzi nimemsikia mchungaji mmoja akisema kwa wale mnaoishi maisha ya unyumba ukitaka kujua mkeo ndio rafiki wako mkubwa basi ugua ugonjwa wa kulazwa wa kukaribia kufa au ugonjwa uzidiwe mpaka...
Tukumbushane ili tujue tulipokosea.
"mwanaume atakula kwa jasho, mwanamke atazaa kwa uchungu"
Aliyesema haya alifocus mbali sana.
Habari za; mwanamke awe mchapa kazi, sijuwi mpambanaji, asiwe...
Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe.
Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa...
Hapo vipi,
Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na...
Kwa uchungu sana,
Kweli wanawake kwa mabinti wanatuambia tutafute hela , ila amini na waambieni wanaume wenzangu ukifika umri wa miaka 30+ utajua hujui yani hutopata mwanamke wa kuendana na umri...
Habarini wa jf natumai mko wazima licha ya hii changamoto ya ugonjwa wa korona 19/21 chamsingi tuendele kujilinda pamoja na familia zetu.
Siku ya leo nimeona ni share pamoja nanyi hiki kisa...
Watu wengi wanakuja na polojo zao kuhusu kipimo Cha maisha,Leo mm nakuletea kipimo HALISI Cha maisha ya mafanikio.
Tukumbuke Kuna mafanikio ya aina tatu
1.kimwili.
2.kiroho.
3.Kinafsi.
1...
Habarini wakuuu.
Mimi kwetu tulizaliwa wengi (8), Ila Kati ya hao nane nina uhakika 100% 3 sio wa ndani ya NDOA. I mean mama alichepuka.
Nilipokuja kugundua mama anachepuka Nilikuwa Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.