DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,603
- 99,622
Jamaa yetu mmoja baada ya kumalizana elimu ya kidato cha nne, Kisha kupitia VETA kusomea mambo ya umeme aliamua kujiunga jeshi la wananchi. Miaka 8 tu baada kukaa jeshini akafukuzwa jeshini kwa matatizo ya kinidhamu.
Baada ya kurudi mtaani maisha yakawa magumu Kiasi chake ukzingatia alikuwa na MKE na mtoto mmoja na hakujiandaa kivyovyote kama angeweza kuachishwa kazi.
Mungu Si athuman ktk omba omba kazi huku na kule kwa vyeti vyake vya VETA akaja kufanikiwa kupata kazi kwenye kiwanda kimoja cha simenti hapa Dar. Alifanya kazi kama mtu wa chini kwa miaka 4 baadae akaja pandishwa cheo na kuanza kulipwa vizuri pale kiwandani na maisha yake na familia yake yakaenda Safi.
Kuna kipindi akaja kuumwa sana appendix, ikabidi akafanyiwe operation. Miongoni mwa waliokuwa karibu nae hospitali pale akiuguzwa alikuwa ni nesi mmoja ni single mother yuko kwenye early 30s. Wakajikuta wamependana sana, mpaka jamaa anapona anaruhusiwa pale hospitali tayari yule nesi keshakuwa Mchepuko wake...